Sio fair kuhusisha Taarabu na Ushoga

Kuna mambo jinsia fulani ikifanya anaonekana/tafsiriwa tofauti...

Mfano
Hiyo kusikiliza taarabu
Wanaume wawili kutembea wakiwa wameshikana mikono
Wanaume kupakatana

Mind you, hayo yote wakifanya msichana kwa msichana ni kawaida

Kimsingi binafsi sidhani kama ni kosa mwanaume kupenda/kusikiliza taraab....japo naona sio kawaida
"Wanaume wawili kutembea wakiwa wameshikana mikono
Wanaume kupakatana"
Mara kumi usikikize taarabu kuliko hizo mambo!! mwanaume unaanza je kupakatwa
 
Taarabu ni nyimbo za kike kike na ndiyo maana ukikuta mwanaume anacheza taarabu au kuimba lazima ushtuke.

Kama Hip hop ilivyotumika kwaajili ya ukombozi basi taarabu nayo itakuja kutumika kama sehemu ya kueneza ushoga.
Sawa mwanaume unayesikiliza nyimbo za ukombozi ili uonekane mwanaume ngoja sisi tuendelee kueneza ushoga.
 
Hivi kuna taarabu inayoelimisha mana waimbaji wenyewe wanaimba idea moja tu
Unauliza? Au unaniambia?
Taarabu ni nyimbo za kike kike na ndiyo maana ukikuta mwanaume anacheza taarabu au kuimba lazima ushtuke.

Kama Hip hop ilivyotumika kwaajili ya ukombozi basi taarabu nayo itakuja kutumika kama sehemu ya kueneza ushoga.
Upo tayari kuangali series na movies za Hollywood zinazopromote ushoga waziwazi kuliko kusikiliza taarabu zinazo entertain na kupresents culture zetu za pwani..? Endelea kusikiliza hip hop ili uonekane mwanaume.
 
Hiyo fact ila kuogopa kusikiliza taarabu kisa kuhofia watu watakujudge vibaya huko ni kutojiamini na kutojiamini ni kutokufanya yaliyosahihi.

kutokujiamini ama kutojiamini ni kazi ya akili tu utakavyoiweka. unaweza ukajiamini kwenye upuuzi na usijiamini kwa yaliyo sawa. Ishi maisha yako tu
 
Taarabu ni nyimbo za kike kike na ndiyo maana ukikuta mwanaume anacheza taarabu au kuimba lazima ushtuke.

Kama Hip hop ilivyotumika kwaajili ya ukombozi basi taarabu nayo itakuja kutumika kama sehemu ya kueneza ushoga.
@viatu vya samaki Mimi mchele kitumbo nakusalimu.
 
Unauliza? Au unaniambia?

Upo tayari kuangali series na movies za Hollywood zinazopromote ushoga waziwazi kuliko kusikiliza taarabu zinazo entertain na kupresents culture zetu za pwani..? Endelea kusikiliza hip hop ili uonekane mwanaume.
Wewe unajifanya umeinuliwa sio kama afande aliyekuwa anabisha na magu?
 
Back
Top Bottom