Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

Aaaahhh Chelsea wachekelee Red devil kusajili wachezaji, kuwapanga uwanja na mfumo wa kucheza. Sihasa kabisa.
 
Tatizo linaanza kujidhihirisha peupe sasa. Hakuna kiongozi wa jeshi makini atakubali adui yake ampangie safu za wapiganaji na mbinu sahihi za kushinda vita wakati wako vitani kila kikosi kikitafuta kushinda. Ukiona hivyo, kuna tatizo tena kubwa ila liko peuple.

Kwa heri Kanza, hufai vitani.

Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.

Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.

Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.

Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.
 
Kweli kabisa si dhambi kuungwa mkono na CCM!
Hata Mbowe baada ya kupata kashifa ya kuhongwa na Rostam na Mkono alisema kuwa si dhambi kuchukua pesa za CCM!

Ok. Kwa hiyo dhambi ni kufanyaje? Hakuna dhambi mbaya kama ya usaliti.
 
Dulu za kiintelijensia zinaonyesha uchaguzi hautaisha salama.
 
Kwa sisi political scientist tunaelewa kuwa hiki ni kipindi cha kampeni/propaganda, hatutaki kusikia nani anaungwa mkono na CCM wala CUF, bali tunasubiria uchaguzi kama kweli Mbaruku anakubalika basi kura itathibitisha na kama Mbowe anakubalika kura ndiyo itasema

Muhimu kwa nyie wote #TeamMbaruku na #TeamMbowe fanyeni mfanyavyo lakini tunaomba msikipasue chama chetu, Over
 
Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.

Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.

Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.

Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.

uliona wapi wapenzi wa simba wawapangie yanga list itakayowafunga lazima watapenda yanga wapange list mbovu ili wawafunge kirahisi na ndivyo ilivyo kwa ccm.hivyo ndivyo tuonavyo sisi akina gogo la shamba na watu wenye busara kama viongozi wa chadema
 
silaha nzito na ya ushindi tunayoijua sis wataalamu wa siasa za bongo ni mbowe mwenyekiti full stop...wengine kama wewe ni changamoto ili ijulikane ulijaribu kwani ni bora kujaribu kuliko kushindwa japo wewe umepima maji kwa kuyakalia ------ wazi... humuwezi mbowe na hatukuhitaji full stop.

Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.

Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.

Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.

Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.
 
MBOWE alichotewa pesa na MKONO&ROSTAM. Akasema kuchukua pesa C.C.M si vibaya. NIULIZE,KANSA kusemwa sana na vyama vingine ktk mchakato huu,imekuwa Dhambi kuu au Usaliti kwa CDM kuliko Miprosoo aliyoichota Mbowe kwa Vigogo wa C.C.M hao?? Nyie semeni tu kwamba,mbowe keshawapa LIMBMWATA ya kupumbavu.au hamjitambui juu ya Uhuni,ushenzi na Ufisadi anaoufanya Bwana wenu Mbowe chadema. anawadanganya na BIGBOM kama watoto wadogo ilhali mnaufahamu uozo wake. Mtalia na kusaga meno. Mungu akutangulie MBAROUK KANSA. Hata hawa wanaobwabwaja ovyo ovyo bila kutafakari UBORA&UIMARA wako,watafahamu ukweli tu.hata ndani ya chumba cha kupigia kura.
 
Sasa kama anaungwa mkono na MACCM kwanini agombee CHADEMA!? Si akagombee kule kwa MACCM ili wamuunge mkono na hata mguu vizuri!!
 
Kwa wanaojua historia mbowe kamtoa wapi zito basi haina budi kusema kuna watu dunia hii hawana shukrani.zito hata kama angetaka kugombea budi angeomba ridhaa ya mbowe na kuandaliwa kuchukua uongozi si kupimana kifua
 
Huo ndo ukweli na nidhamu ya binadamu ye yote anayejitambua.

Nimecheka sana FF anaposema Mbowe alimuogopa Zitto (kwenye uzi huu) na amejibiwa na member mmoja " Mbwa umfuge mwenyewe halafu umuogope" akimaanisha MM kalelewa kisiasa toka yuko chuo na Mbowe, atamuogopaje kisiasa?
 
Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.

Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.

Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.

Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.

Mchawi hata umfiche kwenye chupa lazima atanyoosha kidole. Kama Ccm wanamuunga mkono si akaombe nafasi ya ubalozi wa nyumba kumi huko Ccm?? Njaa ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom