Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

Muhimu ni kusikiliza sera za kila mmoja, mengineyo hayo hayana ushahid na ni story za vijiwe vya kahawa
 
Mbaruku ataifufua chadema iliyouliwa na mbowe kwa kufisadi pesa za ruzuku.

Haya bwana endelea kumdanganya,ninachojua ccm manazi wakubwa, watu wanaoona mtu yeyote mpinzani au chama chochote ni adui mkubwa,sitarajii kumshabikia mbarouk asidhani chadema hatujui wanalao jambo
 
Hata shetani hawezi kukiri dhambi ni mbaya,japo moyoni anauelewa ukweli kuwa uasi ni dhambi kuu.
 
Hakuna mwanachama wa chadema ambaye hafadhiliwi na ccm ni wote wakiongozwa na mwenyekiti wao!!
 

Mkuu Mtoboasiri

Unadhani Kansa Mabruki angesemaje sasa iwapo Chadema hawamsapoti?

Ni wazi neno hili la Kansa limesadifu yaliyosemwa kabla hata hajachukua fomu kugombea uenyekiti (T) huko Chadema, ama unaonaje?

Nilitegemea awe na busara ya kusema maneno ya busara, hata kama aliona kuna undue influence solution yake si hiyo aliyoichagua.
 
Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.

Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.

Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.

Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.

Huyo ni muislamu tena anatoka Tabora, kanda ya ziwa. Hawezi kushindana na chagaland mafia. Anajipptezea wakati au ni game ya akina mbowe kuleta upinzani dhaifu ili waonekane kama ni wana Democracia
 
Chadema haiwezi kuongozwa na mtu ambaye mkoa aliokua anauongoza hauna hata mbunge mmoja,,labda wapiga kura wawe ni wafuatao
01.zitto kabwe
02.habib mchange
03. Juliana shonza
04.kitila mkumbo
05.nyakarungu grayson
06.mtela mwampamba
07.ludovick joseph
08.dotto rangimoto chamchua
09.samson mwigamba
10.yohana wa temeke

lakini tofauti na hapo huyo kansa ajiandae kwenda ocean road kupata radiotherapy!!!
 
Kweli kabisa si dhambi kuungwa mkono na CCM!
Hata Mbowe baada ya kupata kashifa ya kuhongwa na Rostam na Mkono alisema kuwa si dhambi kuchukua pesa za CCM!
 
Kweli kabisa si dhambi kuungwa mkono na CCM!
Hata Mbowe baada ya kupata kashifa ya kuhongwa na Rostam na Mkono alisema kuwa si dhambi kuchukua pesa za CCM!

Penda msipende Mbowe ataendelea kuiongoza cdm mpaka pale atakapopatikana ambaye wana cdm tunamkubali.
 
Mbowe anahaha kuhamisha pesa za ruzuku kwenda kwenye account yake,,Ameshajua Mbaruku anashinda uchaguzi

Mtaula wa chuya kwa uvivu wa kufikiri,hata mkiweka vibaraka wenu hamtaweza kushindana na nguvu ya mungu.
 
Mbaruku ataifufua chadema iliyouliwa na mbowe kwa kufisadi pesa za ruzuku.

Kufisadi ela za ruzuku,kufisadi rasilimali za nchi,wizi wa Epa,Richmond,kutorosha wanyama hai nje ya nchi,kuuwa tembo kisa pembe zao,madawa ya kulevya,nk
 
Huyo ni muislamu tena anatoka Tabora, kanda ya ziwa. Hawezi kushindana na chagaland mafia. Anajipptezea wakati au ni game ya akina mbowe kuleta upinzani dhaifu ili waonekane kama ni wana Democracia

Kama kawaida,hakuna siku inapita bila kuingiza ubaguzi wa udini...ccm hoyeeee
 
Hivi kwa wazee wenzangu wale tuliobahatika kusikiliza redio tanzania dsm kile kipindi cha MAHOKA. kilikuja kufutwa?
 
Back
Top Bottom