Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Huyo Mchepuko tumeshakinai habari zake!
Mgombea Uenyekiti CHADEMA Kansa Mbarouk amelalamikia wafuasi wa chama hicho wanaosema hafai kuchaguliwa kwa sababu anashabikiwa na CCM.
Katika mahojiano na gazeti la FAHAMU mgombea huyo amesema haoni dhambi kupendwa na mashabiki wa CCM kwani hiyo ndiyo demokrasia.
Mgombea huyo anayeshutumiwa kuwa kibaraka wa CCM amewataka wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema kumchagua kwa sababu ndiye anayefaa.
Uchaguzi mkuu wa Chadema unafanyika Septemba 14 ambapo Kansa Mbarouk anashindana na Freeman Mbowe Mwenyekiti anayemaliza muda wake na akitarajiwa kutetea nafasi yake kwa ushindi wa kishindo.
Anazidi kujifunua rangi zake
Kwa mantiki yake ni poa tu kuungwa mkono na ibilisi wakati wewe ni wa Mungu wa Israel? I don't buy that maana hakuna ushirika kati ya nuru na giza!
Leo sikuelewi Ben Saanane.Ha ha ha haaaa ! ! !
Mbowe kaweka kibaraka agombee mbona alimuogopa Zitto Kabwe?
Kuna gazeti linaitwa Fahamu,
Mbona halina ufahamu
Na hatulifahamu.
Njaa inamuuma sana
Leo sikuelewi Ben Saanane.
Mbowe kaweka kibaraka agombee mbona alimuogopa Zitto Kabwe?
Ha ha ha haaaa ! ! !
Kwa mantiki yake ni poa tu kuungwa mkono na ibilisi wakati wewe ni wa Mungu wa Israel? I don't buy that maana hakuna ushirika kati ya nuru na giza!