Sio designer wote wanajihusisha na ushoga

Nov 25, 2016
32
18
Nime kua nikipata maswali mengi mengi mno. kuhusu kazi zetu za kudesign nguo na watu wamekua wakini uliza maswali mengi kuhusu hii kazi. kua ni kwanini Disgnes wengi wana kua wanajiushisha na masuhara ya ushoga na kama sio shoga basi ata kua laini laini.

Hukija kuliangalia swalaili kwajicho latatu huna gundua kuna ukweli ndani yake ila kumbe swala kama ushoga nila mtu binafsi na sio disgnes wote wenye tabia hizo mimi na fikiri rabda kuna bahadhi ya disgner wana jiusisha na tabia hizi hila sina huakika na hili bali nalisikia kutoka kwa watu wanao nizunguka

Mimi napenda kuwajibu kuwa sio kita mtu anaejiusisha na masuhara ya fashion ana tabia hizi wengine nitabia zao toka wadogo na wametoka nazo kwao.

Watu wamekua wakizani kua mtu akijihusisha na masuhara ya mitindo kama models wakiume na Disgnes wa kiume wana kua na tabia zakike ... no.

Mimi na sema sio kweli na sikubaliani na hiki kitu na sitaki watu watu fikilie vibaya juu ya kazi zetu no!

Najua wapo ambao hawata kubaliana na mimi kuhusu hiki kitu ila ukweli ni kwamba bahadhi ya watu wana mitazamo tofahuti juu ya kazi yetu hiii.

So nihayotu ni mawazo yangu na maswali amboyo naulizwa sana tena sana tena namifano natolewa na picha naonyeshwa na vidio pia .. no!

Ila mimi ni razima nitete kazi yangu na kubadilisha fikra za watu . nihayo tu

Naomba msipaniki jamani juu ya mahelezo yangu sija jua wangapi nita wachefua mnisahee bure na mimi ni mwana dam na kosea kama wengine ni mada tu na tunajadili sote asanteni
 
Nime kua nikipata maswali mengi mengi mno. kuhusu kazi zetu za kudisgner nguo na watu wamekua wakini uliza maswali mengi kuhusu hii kazi. kua ni kwanini Disgnes wengi wana kua wanajiushisha na masuhara ya ushoga na kama sio shoga basi ata kua laini laini.

Hukija kuliangalia swalaili kwajicho latatu huna gundua kuna ukweli ndani yake ila kumbe swala kama ushoga nila mtu binafsi na sio disgnes wote wenye tabia hizo mimi na fikiri rabda kuna bahadhi ya disgner wana jiusisha na tabia hizi hila sina huakika na hili bali nalisikia kutoka kwa watu wanao nizunguka

Mimi napenda kuwajibu kuwa sio kita mtu anaejiusisha na masuhara ya fashion ana tabia hizi wengine nitabia zao toka wadogo na wametoka nazo kwao.

Watu wamekua wakizani kua mtu akijihusisha na masuhara ya mitindo kama models wakiume na Disgnes wa kiume wana kua na tabia zakike ... no.

Mimi na sema sio kweli na sikubaliani na hiki kitu na sitaki watu watu fikilie vibaya juu ya kazi zetu no!

Najua wapo ambao hawata kubaliana na mimi kuhusu hiki kitu ila ukweli ni kwamba bahadhi ya watu wana mitazamo tofahuti juu ya kazi yetu hiii.

So nihayotu ni mawazo yangu na maswali amboyo naulizwa sana tena sana tena namifano natolewa na picha naonyeshwa na vidio pia .. no!

Ila mimi ni razima nitete kazi yangu na kubadilisha fikra za watu . nihayo tu

Naomba msipaniki jamani juu ya mahelezo yangu sija jua wangapi nita wachefua mnisahee bure na mimi ni mwana dam na kosea kama wengine ni mada tu na tunajadili sote asanteni
Huu uandishi wako ni shida!
 
Nitajibu maswali ya watu wa tatu wa mwisho na bahada ya hapo nita hendelea na mambo mengine na sito jubu tena thanks
 
Msifanye hivyo bana. Mbona yule anayemtengenezea nguo Diamond ana watoto 2 mpaka sasa
 
Mimi namwqmini Speshoz tu yule anayemvalisha Diamond!
Ila wengine nina wasi wasi nao!
 
Ukiona mwanaume anakaa na mwanamke halafu hasindishi hapo kuna walakini

Ilo ni tatizo tena kubwa sana
Ila tambua kua siwote. Mimi ni Disgner wa nguo za kiume na sio zakike. zakike kama hikitokea tu na tenge neza hila sio za kupita kwenye jukwaa
 
Mleta mada herufi "h" ilikufanya nn aisee mbona unaitumia sehemu ambazo hata haitumiki? Kama ww hujihusishi na hivi vitendo viovu basi washauri wenzako wamelegea mithili ya mlenda
 
Back
Top Bottom