Sio designer wote wanajihusisha na ushoga

Sio designer wote wanajihusisha na ushoga

Martin designer & model wengi wa kiume wanaliwa
 
Yahani mtoha mada sijui unahongea lugha gani mahana hata kihinglishi kinakupiga chenga
 
Jifunze kuandika kiswahili fasaha kwanza ndio uje utetee designers.
 
Nime kua nikipata maswali mengi mengi mno. kuhusu kazi zetu za kudesign nguo na watu wamekua wakini uliza maswali mengi kuhusu hii kazi. kua ni kwanini Disgnes wengi wana kua wanajiushisha na masuhara ya ushoga na kama sio shoga basi ata kua laini laini.

Hukija kuliangalia swalaili kwajicho latatu huna gundua kuna ukweli ndani yake ila kumbe swala kama ushoga nila mtu binafsi na sio disgnes wote wenye tabia hizo mimi na fikiri rabda kuna bahadhi ya disgner wana jiusisha na tabia hizi hila sina huakika na hili bali nalisikia kutoka kwa watu wanao nizunguka

Mimi napenda kuwajibu kuwa sio kita mtu anaejiusisha na masuhara ya fashion ana tabia hizi wengine nitabia zao toka wadogo na wametoka nazo kwao.

Watu wamekua wakizani kua mtu akijihusisha na masuhara ya mitindo kama models wakiume na Disgnes wa kiume wana kua na tabia zakike ... no.

Mimi na sema sio kweli na sikubaliani na hiki kitu na sitaki watu watu fikilie vibaya juu ya kazi zetu no!

Najua wapo ambao hawata kubaliana na mimi kuhusu hiki kitu ila ukweli ni kwamba bahadhi ya watu wana mitazamo tofahuti juu ya kazi yetu hiii.

So nihayotu ni mawazo yangu na maswali amboyo naulizwa sana tena sana tena namifano natolewa na picha naonyeshwa na vidio pia .. no!

Ila mimi ni razima nitete kazi yangu na kubadilisha fikra za watu . nihayo tu

Naomba msipaniki jamani juu ya mahelezo yangu sija jua wangapi nita wachefua mnisahee bure na mimi ni mwana dam na kosea kama wengine ni mada tu na tunajadili sote asanteni
"Disgnes" ndio nini maana umeliandika kama mara tatu hivi. Nimecheck kwenye dictionary na google pia hata sijalipata.
 
Siku hizi mafundi kushona hawajiiti "mafundi Kushona" bali "madizaina".
Hakika ni mabadiliko.
 
Hata kuandika unaandika kishoga. Kila sehemu unaweka h kuonesha unabana pua.
 
Una weza kuni hona vizuri Facebook na istangram/twitter na huko pia huna weza hukaona na kazi zangu pia tuka fanya biashara natumia martin king/fashion designer ok
Ok martin kadinda tumekuelewa
 
Back
Top Bottom