zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Habari wana JF wenzagu. Huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu na tarehe 28.10.2020 ni kama imekaribia hivi ili maamuzi ya wananchi yatimie katika
Kisanduku cha faragha cha kupigia kura.
Ila ni kama nimeshikwa na butwaa kwa sababu nikisikiliza sera za pande zote mbili naona kama sielewi chochote.
Chadema wanasema kwamba wanakubalika na wanachi ila kwenye mikutano ya CCM naona mafuriko ya watu tena wanaoneshwa kupendezwa na yale ayasemayo Mgombea tena na kuhudhuria mikutano wanahudhuria kwenye mikutano.
Sikutegemea kuona wingi wa watu endapo CCM sasa basi au kwamba wanataka kuiondoa madarakani.
Nikija upande wa pili TL anasema kuwa anaijua sheria vizuri ila ameshindwa kupingana na sheria kandamizi za wenzetu hata kulinda kura zao kisheria ameshindwa.
Kama ni kweli walimtendea ubaya mbona asifungue kesi mahakamani ya mambo aliyotendewa ikiwemo kuvuliwa ubunge kunyimwa mshahara wake kisheria. Labda ingesaidia kidogo.
Mwisho wa Siku mambo yanajirudia yale yale Ma Raisi Wa CCM miaka kumi ni lazima hata ufanyeje. Tumia usomi wako Tundu Lissu unaonekane kweli unaijua sheria sio kuongea kwa maneno bali kwa vitendo