Sinusoidal curve of marriage life!.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sinusoidal curve of marriage life!....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Jun 25, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  A sinusoidal curve is the graph of the sine function in trigonometry!...

  In my four months of marriage i have come to learn that UPEPO-WA-NDOA
  is a sinusoidal-curve.
  1-KUNA WAKATI MAMBO YANAKWENDA SAFI SANA!
  mashamsham kibao,ma-outing,ma kila kitu(HAPA NI WAKATI SIN(90)=+1

  2-KUNA WAKATI MAMBO YANAKWENDA NDIVYO SIVYO..i mean fifty fifty.
  mama anakuwa very busy na wanae kama anao,pia anakuwa bize sana na kazi.
  Hapa mwanamume anajikita sana kwenye INFIDELITY:usa::usa:.HAPA NI WAKATI SIN(0)=0

  3-KUNA WAKATI NDOA ZINAKUWA CHUNGU KULIKO.(hii ni stage mbaya kidogo).
  inafikia mahala hakuna kabisa mawasiliano baina ya wanandoa.
  mara nyingi hapa wanandoa hufikiria devorce n.k.HAPA NI WAKATI SIN(-90)=-1

  4-LAKINI kuna wakati unaona watu wanarudisha upendo wao wa zamani na mambo
  yanaendelea kama kawaida

  MY TAKE:naomba watu wasivunjike mioyo(HASA AKINA DADA),pale mambo
  yanapokwenda ndivyo sivyo,maanake ka-utafiti kangu kupitia post
  nyingi za lediiz humu ndani inaonekana kwamba ni watu waliokata
  tamaa kabisa au pengine wanawachukia sana wanaume.
   
 2. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  :redface:


  Elimu dunia haina mwisho!!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Thanks T nitarudi hapa
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Siku moja moja unakunywa Valuu za kichina, hazina hang'over...

  Lakini ningefurahi kama ungesema "Walio Ndani ya Ndoa.... Wasivunjike Mioyo"

  Amani iwe kwenu...:pray:
   
 5. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  umenifanya niogope kuolewa
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  noted sana with many thanks
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  usiogope!
  maisha ndo yanakwenda hivyo

  MILIMA NA MABONDE!
  unajua nimeona hii kitu inawasumbua wengi sana.ni vyema wakaelewa hivyo tu
   
 8. Lily Flower

  Lily Flower JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 2,555
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie uvumilivu ulinishinda nikalivua pendo.:angry:
   
 9. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  miezi 4 tu ushajua yote hayo?
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sasa mama hapo ulipaswa kufikiria mara mbili zaidi
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ukiwa kwenye ndoa unaishi na wanandoa na unapata uzoefu mwingi tu AU VIPI MAMA?...

  au wewe ''you are here to critisize?''

  watu kwanini mnapenda kuwaprovoke wengine bure tu?sio fair jamani

  sio lazima kuchangia kila thread!ukiona vipi vipi unaipotezea tu
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha! Ngoja nicheke tena kidogo hahahahahahahahaha!

  Sinusoidal curve imekuwa translated kwenye malovee? Hahahahahaha! Wahandisi kweli noma...

  Sasa hebu tutafsirie na projectile curve kwenye maisha ya ndoa. (Niko bize naandaa makaratasi ya talaka hapa, wapi bht?)
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  teamo nakubaliana na hoja yako lakini hebu tujiulize kidogo...............hivi vijimambo vinavyopelekea curve kushuka kuelekea minus hatuwezi kuvipunguza kweli?

  waswahili wanasema "subira ina mpaka"
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Naona wewe unataka kusababisha iletwe equation ya straight line kwenye maisha ya ndoa.
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hahaha chrispin ................sio hivyo lakini hivi duh hii range tulopewa hapa ya kuanzia 90 mpaka -90 kidoooodo imetilia mashaka.

  maana angalau ingekuwa inarange from 30 to -30 nafikiri wengi wangeweza kuvumilia.
   
 16. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha!
  LOVE-ENGINEERING AT WORK
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAPO kwenye 90 to -90 nimeallow kila kitu

  nimekalkuleti minimum bending moment(-90) na maximum bending moment(90)

  below -90 HUWA NI BREAKUP TU...!hata kujiua,au kumwua mwenzio
  above 90 HUWA NI UNAFIKI MTUPU..!mapenzi ya kwenye tamthiliya hayo.(tigo et al)
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,957
  Likes Received: 23,635
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa! Bending moment kwenye malovee!! (Angalia usije ukasababisha wataalam wa mangwini wakaenda kuwakunja wake zao wakitafuta momenti za kubendi)
   
 19. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Unapoamua kuingia kwenye ndoa. tunategemea kuwa utakuwa ni mtu mzima unayetambua upendo na machungu ya ndoa pia kupitia kusimuliwa na kuona pia kwa maana hiyo utakuwa unatambua ni nini hasa unachokwenda kukabiliana nacho ndio maana hakuna ndoa ya watoto. Nafikiri kama unajiona huwezi KUVUMILIA ni afadhali USIOE/KUOLEWA kabisa. Na kama wewe ni mtu wa JAZBA angalia sana ndoa hasitadumu sanasana utaishia kwenye divorce.

  Mara nyingi watu tunaingia kwenye ndoa tunawaza tu mazuri kama vile safari ya mwezini na huwa hatufikirii kwanini tumeingia kwenye ndoa. ila ndoa ni sehemu nzuri sana ya kuwepo na na mbaya kuliko chochote uki ukikulupuka. Angalia wazee walioko kwenye ndoa kwa takribani miaka 40 na ulinganishe na waliaacha na kuachika utajifunza kitu kikubwa kwamba ndoa ni nzuri sana.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  hapo nadhani nitasomeka zaidi!
  x-pin upo?
   
Loading...