sinu yangu ipo busy muda wote msaada tafadhali

sinu yangu ipo busy muda wote msaada tafadhali

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,469
Reaction score
17,975
Simu yangu ipo busy wakati wote, hata kama siongei na mtu. Nipigiwa mpigaji anajibiwa mwenye cm yupo busy. Kuna maujanja yakuondo hili tatizo?
Msaada tafadhali.
NOTE: Kila sim card nayoweka inakuwa busy ukipigiwa, ila nikiitoa na kuiweka kwenye cm nyingi inakuwa poa
 
angalia kwenye call diverts & barring huenda ulifanya hivyo. nenda huko na ucancell au kudisable diverts zote. kama vp nenda factory resert na uiformat au kurest cm ili irudi kwenye defort
 
angalia kwenye call diverts & barring huenda ulifanya hivyo. nenda huko na ucancell au kudisable diverts zote. kama vp nenda factory resert na uiformat au kurest cm ili irudi kwenye defort

ahsante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom