platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,367
- 11,163
....I was totally confused na nilifanya bifu kubwa sana na yule dada na karibu chuo kizima walikuja kujua hii kitu...
Hapa sijui ni ugumu au kitu gani, wengine hapo ukishaingia room na kidosho kama huyo hata kabla ya kuoga lazima bao la kwanza liingie kimiani. We wa mwaka gan Sizinga?
dah..kweli mindset ya msichana na mvulana ni tofauti sana, maana mi mbona naona kama hii story yako ni ushuhuda..
halafu kitu kingine.....
...if you had kept it all cool, yule mkenya angeendelea kuamini kua you both had shared the girl, ila sasa wewe nawe you completely sold yourself out..lol
Dah! Pole sana Mkuu S@izinga...Inaelekea Binti alikuwa bomba sana mpaka ukapata mkanganyiko na kufanya vibaya katika masomo yako. Hii itakutesa moyoni kwa muda mrefu sana....Pole sana
Look, if you had one shot, one opportunity
To seize everything you ever wanted-One moment
Would you capture it or just let it slip?
kosa si kosa, kosa kurudia kosa! usirudie tena! nikikupa chance itumie lol!Uwwwwiiiiiii....haya nashukuru dada cacico!! Let it be
dah, hii ni classic case ya udomo zege, a high degree ya naivette pamoja na 'ustaarabu' uliopitiliza... mkuu ulikuwa unasubiri binti achukue kitu ajiwekee mwenyewe nini? katika dunia ya sasa ambayo mambo yana-run kwenye fast- lane, decisions zinapaswa kufanywa instantaneously (hakuna mambo ya kungoja kesho) ...no wonder wajanja walianua ngoma wakakuacha unajilaumu
dah nimeumia kama ni mimi vile
First ni kuwa haukuwa matured katika kuwasoma girls
na pili ulikuwa naive sana
tatu hao wakenya walikuwa few steps ahead yako na walikuwa wameshamsoma mdada...
wewe ulipigwa bao laini mno la kisigino....
kila mwanaume ana story kama hii ya enzi za shule aiseee...
mimi ninazo nyiingi lakini aah....lol
Aisee The Boss...umeingia moyoni mwangu...yanii we acha tu bro!! Utoto, un-matured, frustrated, naive, no experience, lack of confidence...na chochote kile kisemwe tu, I agree...kinilichoniuma sana hata masomo nilishindwa kuyamudu for that semester...Ingawa niliclear huko mbeleni lakini...!
Yaani we acha tu Bro....!!!
NTOA MADA UNA MATATIZO NA HILI LINAWAKUMBA WENGI WA JINSIA YAKO,Ni kweli kwani kuna rafiki yangu mmoja alinipa moyo sana akaniambia kuna kitu Mungu kakuepusha...which makes sense by the way....sidhani kama nilishinda vishawishi bali niliumizwa sana dear!!