Mkuu Sizinga sometimes hizi mambo zinatokea bana..
Mie kinachoniuma ni pale unapofanya 'uungwana' kwa kufikiri demu atauona huo 'uungwana' wako ili akupe credit..
Kinyume chake unakuja kusikia kuwa kamegwa kwenye mazingira ambayo wewe uliyaona kuwa hayakuwa 'fair'..
Binafsi i got the same story like this and when i met the lady next day..she was laughing at me!..nilijiona mdhaifu sana aisee..
Huyo dada alikuwa loose ama?
ina maana alikuwa tayari suspend night na yeyote? Wala hakufai huyo, Mungu alikuepusha tu. Manake ungeanza kutoka nae siku mngejikuta kwa wazimbabwe nao wangekutenda na ungeumia zaidi. Inaelekea hachagui jembe, mkulima huyo
Duh haya yapo sana na nina story kama hiyo ila japo kwa mara ya kwanza haikutokea ila we ended up to be together and nilikuwa na time za kufuta kile kiliochotokea that day Sizinga inauma sana ila jipongeze may be Mungu alikuw ana kusudi lake
yaaani hii story yako naweza kuuita
'hasara za kutozaliwa au kuishi uswazi'
kuna skillz unazipata uswahilini tu...trust me
Unasikia Mr Rocky.....ilinichukua muda sana kurudi katika normal state, na kikubwa ni kwamba huenda niliepushwa something outa of it...!!
Sijui ni domo zege ama...lakini sipo kiivyo!!
Mmh The Boss....are sure kwamba mtu wa uswazi haiwezi kumkuta hii?? sema nilikuwa sina mazoea ya kumingle na wadada kivile....halafu nilikuwa naogopa sana kutongoza coz akinikitaa huwa najisikia vibaya halafu inakuwa siwezi tena lazimisha!! Hii ndo ilinicost mzee!!
The Boss kweli hapa unauasijui nikueleze vipi
lakini watoto wa uswazi mpaka anafika college
kutongoza na kukataliwa ni kitu cha kila siku
ni nadra kumkuta katika mazingira haya..
lakini ukizaliwa uswazi 'bahati kama iliyokukuta huwa nayo nadra sana kupata'
yaani wadada wanavutiwa na decent guys na wasiotoka uswazi
while wa uswazi ndo wako front kwa mambo hayo.hawahitaji kupewa sign mara mbili lol
Mkuu 'Sizinga wala sio dome zege
Ulikuwa na maadili yako na ilikuwa sio kwamba imepangwa itokee mlale room moja it was concidence na hukupenda utumie jambo hilo kama njia ya kumpata yule dada
Maana bado kulikuwa na decent way ya kumpata
Ila kitendo cha yeye kumegwa kirahisi ni kuwa alikuwa mrahisi vile vile
Na katika hilo wewe ulitunza utu wako na heshioma yako na kama ulikuwa umpate ungempata katika njia sahihi sio hiyo ya kuchukulia tukio la kukosa chumba kama njia ya kumpata
Ingelikuwa demu akikukataa unakufa.......hapo tusingethubutu!Mmh The Boss....are sure kwamba mtu wa uswazi haiwezi kumkuta hii?? sema nilikuwa sina mazoea ya kumingle na wadada kivile....halafu nilikuwa naogopa sana kutongoza coz akinikitaa huwa najisikia vibaya halafu inakuwa siwezi tena lazimisha!! Hii ndo ilinicost mzee!!
Duh kweli, si stahiki kwa kichwa cha jogoo kuvikwa kilemba! Yaani mpira unadunda-dunda kwenye kumi na nane unauacha hivi hivi? Kwani hata mikono ilikufa ganzi, si ungepima oil kidogo kama ipo!
Sizinga she cant came out and confess to you that the guy was up to her anywayDah You tak right bro...Uhaba wa vyumba haukuwa kigezo cha mimi kumpata yule binti, halafu sikutegemea kuwa ningekaa nae chumba kimoja ingawa yeye hakuwa na noma!! So kiufupi naona kama hakunifanyia fair, ingawa mwenyewe alikataa akasema kwamba hakumegwa, which I guess whe was totally wrong!!
Ingelikuwa demu akikukataa unakufa.......hapo tusingethubutu!
Sizinga she cant came out and confess to you that the guy was up to her anyway
She has to maintain that she was so decent even to the other guy ili usimuone mrahisi sana
Ila be thankful to God maana alikuepusha mengi and i dn see the reasons for you kupata stress maana yes it happen but you were in a position to move on with your life
Was not your gal and she was not meant to be
I guess these are boys stuff that I will never understand. Bear with me, I was born clever nikaruka foolish age. I don't regret it!
Sasa The Boss, in a maana jamaa angepewa day one, afu mkenya akapewa day two (I hope u don't presume mdada angegoma kulazwa kwa mkenya), in a maana sizing angekuwa mjanja kwa kufungua njia:wacko: