Sintafanya biashara na mtanganyika

Ujue hii slogan ya jf inatupoteza wengi
'home of Great thinkers', sasa wengine wakiweza ku-log in tu, wanajiona akina Isaac Newton au Albert Enstain.

what are u insuniating? anyways kwanini usijikite kwenye hoja niliyo ileta barazani?
 
Afadhali yangu mimi ambaye sikwenda shule kuliko wewe uliyekwenda shule kusomea ujinga.

Haujui hata shule ninayo izungumzia sijui hata kwa nini napoteza muda wangu kujadiliana na mtu kama wewe!
 
Mimi ni Mtanganyika but kamwe sitathubutu kufanya "Biashara" na Mtanganyika!. Kwanini? Kwa sababu WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU! Kwao namba hazina maana yoyote! Mtu a siyejua umuhimu wa namba ni hatari sana katika ulimwengu wa biashara na faida.

KWANINI NINASEMA WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU?

Here i come

1. Kwa mujibu wa sayansi na historia, mtu wa kwanza duniani aliishi katika nchi ya Tanganyika zaidi ya miaka BILIONI MBILI iliyopita. Hii ina maana kuwa ustaarabu wa mwanadamu ulianzia Tanganyika au kwa lugha nyingine, Ustaarabu wa MTANGANYIKA una MIAKA BILIONI MBILI.

Karne kadhaa zilizopita nchi yetu ilivamiwa na WAARABU na WAZUNGU ambao walikuja na ustaarabu wao na kuwalazimisha/kuwashawishi watanganyika kuufuata.

USTAARABU WA WAARABU ( UISLAMU ) UNA MIAKA 1500 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa kiarabu wenye umri wa miaka 1500!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 1500 SHILLINGS.

USTAARABU WA WAZUNGU ( UKRISTO ) UNA MIAKA 2000 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa wazungu wenye umri wa miaka 2000!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 2000 SHILLINGS.

2. KUHUSU KILE KINACHOITWA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Watanganyika tupo MILIONI 43 na ushee , WAZANZIBARI wapo MILIONI 1 na ushee.

Halafu Watanganyika tunakubali kuunganisha taifa letu lenye watu MILIONI 43 na ushee na kisiwa chenye watu MILIONI MOJA ambao idadi yao ni ndogo kuliko idadi ya wakaazi wa mkoa mmoja uliopo katika taifa la Tanganyika!!!!

NI MFANYABIASHARA MPUMBAVU TU NDIO ANAYEWEZA KUUNGANISHA MTAJI WAKE WA SHILINGI MILIONI 43 NA MTAJI WA SHILINGI MILIIONI MOJA KUTOKA KWA MTU MWINGINE KISHA WAKAANZISHA BIASHARA MOJA WAKITEGEMEA KUPATA FAIDA SAWA SAWA.

3. Serikali ya CCM (TANU ) ipo madarakani tangu mwaka 1961. Imetusababishia matatizo mengi sana sisi watanganyika ( Do i need to talk about it ? Please excuse me! )

Lakini still bado kuna watu leo hii wanaishabikia CCM.

Ni mpumbavu tu anayeweza kukiunga mkono chama ambacho kimemfanya aendelee kuwa masikini kwa zaidi ya miaka hamsini ili kiendelee kumfanya awe masikini kwa miaka mingine zaidi.

RAI YANGU KWA WATANGANYIKA WENZANGU:

Tukatae Muungano wa serikali tatu, tuukatae Muungano. Tuidai nchi yetu ya Tanganyika, tuikatae CCM.

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.
Muungano umezeeka wausitaafishe kwa Amani kila mmoja aende kivyake
 
Watu kama wewe ndio ninao wazungumzia hapa. Huu ni uwanja wa ma GT kama hujaelewa content ya nilicho kieleza piga kimya.

Unapokuwa umeanzisha jambo la kijinga kama hii mada yako, hutakiwi kuwa mkali.

Hao tuliobadilishana nao ustaarabu wetu mzuri wa miaka bilioni mbili ndio wamefanya leo hii umekaisha masaburi yako huko uliko unawasiliana na mimi bila hata kuonana. Kama ulidhani we were better then, nikukumbushe kuwa zamani walemavu waliuawa hapa Africa, kwa hiyo ungekuwa umeshauawa, sababu mlemavu wa akili ni mlemavu pia.
 
Muungano Bora ni Kuwa na Rais mmoja tu na makamu wake na wahamie Dodoma wasikae Dsm na kama itashindikana basi waige America Tz Atawale Gavana na Zenji atawale Gavana Rais mmoja tu anatosha .kinyume na hapo Muungano Ufe tu kila mmoja aishi kivyake Zenji waludi Kuwa koloni la warabu na Tz Bara iwe tajiri kutokana na pesa zitazobakia bara pasipo zenji kupata mgao huku umeme chakula viza vibali vya kuishi na kufanya bara vikiuzwa kwa Dola pindi Raia wa Zenji watakuwa Raia wa kigeni .kumbuka jina la Bara ni Tanganyika lakini ikumbukwe Bara Ndio baba wa muungano hivyo jina la Tanzania ni jina la Bara hata muungano ukifa Bara paitwe Tanzania na Zenji kutabaki kuitwa Zanzibar tu .
 
Mimi ni Mtanganyika but kamwe sitathubutu kufanya "Biashara" na Mtanganyika!. Kwanini? Kwa sababu WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU! Kwao namba hazina maana yoyote! Mtu a siyejua umuhimu wa namba ni hatari sana katika ulimwengu wa biashara na faida.

KWANINI NINASEMA WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU?

Here i come

1. Kwa mujibu wa sayansi na historia, mtu wa kwanza duniani aliishi katika nchi ya Tanganyika zaidi ya miaka BILIONI MBILI iliyopita. Hii ina maana kuwa ustaarabu wa mwanadamu ulianzia Tanganyika au kwa lugha nyingine, Ustaarabu wa MTANGANYIKA una MIAKA BILIONI MBILI.

Karne kadhaa zilizopita nchi yetu ilivamiwa na WAARABU na WAZUNGU ambao walikuja na ustaarabu wao na kuwalazimisha/kuwashawishi watanganyika kuufuata.

USTAARABU WA WAARABU ( UISLAMU ) UNA MIAKA 1500 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa kiarabu wenye umri wa miaka 1500!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 1500 SHILLINGS.

USTAARABU WA WAZUNGU ( UKRISTO ) UNA MIAKA 2000 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa wazungu wenye umri wa miaka 2000!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 2000 SHILLINGS.

2. KUHUSU KILE KINACHOITWA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Watanganyika tupo MILIONI 43 na ushee , WAZANZIBARI wapo MILIONI 1 na ushee.

Halafu Watanganyika tunakubali kuunganisha taifa letu lenye watu MILIONI 43 na ushee na kisiwa chenye watu MILIONI MOJA ambao idadi yao ni ndogo kuliko idadi ya wakaazi wa mkoa mmoja uliopo katika taifa la Tanganyika!!!!

NI MFANYABIASHARA MPUMBAVU TU NDIO ANAYEWEZA KUUNGANISHA MTAJI WAKE WA SHILINGI MILIONI 43 NA MTAJI WA SHILINGI MILIIONI MOJA KUTOKA KWA MTU MWINGINE KISHA WAKAANZISHA BIASHARA MOJA WAKITEGEMEA KUPATA FAIDA SAWA SAWA.

3. Serikali ya CCM (TANU ) ipo madarakani tangu mwaka 1961. Imetusababishia matatizo mengi sana sisi watanganyika ( Do i need to talk about it ? Please excuse me! )

Lakini still bado kuna watu leo hii wanaishabikia CCM.

Ni mpumbavu tu anayeweza kukiunga mkono chama ambacho kimemfanya aendelee kuwa masikini kwa zaidi ya miaka hamsini ili kiendelee kumfanya awe masikini kwa miaka mingine zaidi.

RAI YANGU KWA WATANGANYIKA WENZANGU:

Tukatae Muungano wa serikali tatu, tuukatae Muungano. Tuidai nchi yetu ya Tanganyika, tuikatae CCM.

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.

Tuna matatizo makubwa ya mitaala, mitaala inatufundisha UWONGO MWINGI, na kwa vile wengi wetu ni wavivu wa kusoma vitabu vilivyo nje ya mitaala tutabaki kuamini uwongo tuliodanganywa kuwa ni Ukweli. Lengo au Mada yako huenda ina maana kubwa na imekaa vizuri, lakini jinsi ulivyoanza kwa kuipamba na UWONGO mwingi basi inakosa maana. Hebu fanya research ya kutosha ujue ni nani hasa ALIZIUNGANISHA Tanganyika na Zanzibar (achana na Nyerere na Karume), ni kwa nini ziliunganishwa? Ukisoma vitabu vya historia ulivyozowea shuleni hakika utapotoka kama ulivyopotoka kwa kuaminishwa kwamba Binadamu WA KWANZA aliishi Tanganyika! Utajijaza matumaini ya uwongo kwa kuamini kuwa ustaarabu ulianzia Tanganyika!
 
Hiki ni Kiscotish au kiingereza!? bado una guts za kujiita msomi! mphweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Ni dhana potofu kudhani kuandika Kingereza ni Usomi kumbuka Lugha na taaluma havifanani ! Wapo wasomi wachina Rusia German Spain France nk hawajui Kingereza . Hv hamjua Kuwa wapo Raia wa Uingereza ambao hawajasoma lakini wanazungumza Kingereza vizuri je ?na hao ni wasomi?
 
Tuna matatizo makubwa ya mitaala, mitaala inatufundisha UWONGO MWINGI, na kwa vile wengi wetu ni wavivu wa kusoma vitabu vilivyo nje ya mitaala tutabaki kuamini uwongo tuliodanganywa kuwa ni Ukweli. Lengo au Mada yako huenda ina maana kubwa na imekaa vizuri, lakini jinsi ulivyoanza kwa kuipamba na UWONGO mwingi basi inakosa maana. Hebu fanya research ya kutosha ujue ni nani hasa ALIZIUNGANISHA Tanganyika na Zanzibar (achana na Nyerere na Karume), ni kwa nini ziliunganishwa? Ukisoma vitabu vya historia ulivyozowea shuleni hakika utapotoka kama ulivyopotoka kwa kuaminishwa kwamba Binadamu WA KWANZA aliishi Tanganyika! Utajijaza matumaini ya uwongo kwa kuamini kuwa ustaarabu ulianzia Tanganyika!
Nia ya Nyerere na karume ilikuwa nzuri wao waliunganisha wakitegemea huko mbeleni muungano utakuwa wa Digtal yaani utaenda na na wakati lakini matokeo yamekuwa kinyume na matarajio ya wengi muungano upo analogies umejaa mapungufu lukuki na dalili za kuboresha Hakuna
 
Mimi ni Mtanganyika but kamwe sitathubutu kufanya "Biashara" na Mtanganyika!. Kwanini? Kwa sababu WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU! Kwao namba hazina maana yoyote! Mtu a siyejua umuhimu wa namba ni hatari sana katika ulimwengu wa biashara na faida.

KWANINI NINASEMA WATANGANYIKA HAWAJUI HESABU?

Here i come

1. Kwa mujibu wa sayansi na historia, mtu wa kwanza duniani aliishi katika nchi ya Tanganyika zaidi ya miaka BILIONI MBILI iliyopita. Hii ina maana kuwa ustaarabu wa mwanadamu ulianzia Tanganyika au kwa lugha nyingine, Ustaarabu wa MTANGANYIKA una MIAKA BILIONI MBILI.

Karne kadhaa zilizopita nchi yetu ilivamiwa na WAARABU na WAZUNGU ambao walikuja na ustaarabu wao na kuwalazimisha/kuwashawishi watanganyika kuufuata.

USTAARABU WA WAARABU ( UISLAMU ) UNA MIAKA 1500 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa kiarabu wenye umri wa miaka 1500!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 1500 SHILLINGS.

USTAARABU WA WAZUNGU ( UKRISTO ) UNA MIAKA 2000 tu tangu uanze kuwepo.

But Mtanganyika amekubali ku exchange ustaarabu wake wenye umri wa miaka BILIONI MBILI kwa ustaarabu wa wazungu wenye umri wa miaka 2000!!!!

ITS ONLY A FOOL WHO WILL EXCHANGE HIS/HER 2 BILLION SHILLINGS with 2000 SHILLINGS.

2. KUHUSU KILE KINACHOITWA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR.

Watanganyika tupo MILIONI 43 na ushee , WAZANZIBARI wapo MILIONI 1 na ushee.

Halafu Watanganyika tunakubali kuunganisha taifa letu lenye watu MILIONI 43 na ushee na kisiwa chenye watu MILIONI MOJA ambao idadi yao ni ndogo kuliko idadi ya wakaazi wa mkoa mmoja uliopo katika taifa la Tanganyika!!!!

NI MFANYABIASHARA MPUMBAVU TU NDIO ANAYEWEZA KUUNGANISHA MTAJI WAKE WA SHILINGI MILIONI 43 NA MTAJI WA SHILINGI MILIIONI MOJA KUTOKA KWA MTU MWINGINE KISHA WAKAANZISHA BIASHARA MOJA WAKITEGEMEA KUPATA FAIDA SAWA SAWA.

3. Serikali ya CCM (TANU ) ipo madarakani tangu mwaka 1961. Imetusababishia matatizo mengi sana sisi watanganyika ( Do i need to talk about it ? Please excuse me! )

Lakini still bado kuna watu leo hii wanaishabikia CCM.

Ni mpumbavu tu anayeweza kukiunga mkono chama ambacho kimemfanya aendelee kuwa masikini kwa zaidi ya miaka hamsini ili kiendelee kumfanya awe masikini kwa miaka mingine zaidi.

RAI YANGU KWA WATANGANYIKA WENZANGU:

Tukatae Muungano wa serikali tatu, tuukatae Muungano. Tuidai nchi yetu ya Tanganyika, tuikatae CCM.

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA.

What gift should I give you my dear friend, a gift I can afford? I have already given you my LIKE. What else do you think I should give you that I can afford?
 
Hivi wewe ni Mzee au kijana? Na vipi umeshaolewa au bado?

Muungano ukifa Bara atakuwa Tajiri Kama south Africa kwani zinatumika pesa nyingi kuubembeleza muungano na hakika hizo pesa zikibaki bara pasipo Kuwa na ufisadi Bara itakuwa Tajiri sana
 
Hhahahahahaha! nikirejea maneno yako kwa kuwa nimeenda shule, nafarijika kuona kidogo unawazo zuri japo hujaliwasilisha sawasawa. kimsingi nakuunga mkono kwa kusema yafatayo, Muungano wetu unatuumiza sana wa Tanganyika, Zanzibar wanakatiba yao, wanajiamulia wafanye nini na nchi yao afu wanatuletea Tanganyika tuyajumlishe kwenye utalatibu wa pamoja maana yake ni nini? Nivizuri kuwa na serikari tatu.Tanganyika, Zanzibar, na ya muungano. Muungano inaweza kuwa serikali ndogo tu ya wawakilishi.
 
Wazungu wana UST-ARAB?...Sidhani

Back
Top Bottom