TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
ni kama chuzi vile jinsi unavyokaribia chooni ndivyo linavyoleta tafrani...
Hahahaaaa lol umenfanya nmechekaa sanaa japo nlisinzia apa adi usingzi umeishaa
ni kama chuzi vile jinsi unavyokaribia chooni ndivyo linavyoleta tafrani...
achana naye huyo, aliniomba nimuoe baada ya kuwa nimemuonja nikamtupa kwenye kapu, izo ni hasira zake tu tunajuana sisi wenyewe kwa vilemba. si unaona msg zake ni za watu wanaofahamiana anarusha mashambulizi halisi.familia yake kubwa huyo atampa wifi mzigo saa hizi wa kulea pekeyake
Hahahaaaa lol umenfanya nmechekaa sanaa japo nlisinzia apa adi usingzi umeishaa
ha..! ha..! ha..! ha..! tumboo unataka useme hata hamada wa marehemu bi kidude si mwanaume?
achana naye huyo, aliniomba nimuoe baada ya kuwa nimemuonja nikamtupa kwenye kapu, izo ni hasira zake tu tunajuana sisi wenyewe kwa vilemba. si unaona msg zake ni za watu wanaofahamiana anarusha mashambulizi halisi.
nipm kama unataka. niko arusha na biashara zangu kila mwezi niko dsm. pengine tutakunywa walau soda.kha!!!!! mr richman
Aisayeee, nyie siasa kweli ! nawaungeni mkono....
nilitaka kumPM, mmmmh kumbe bigmouth:A S 11:Anakua ni mwanaume jina Mshana Jr........
nipm kama unataka. niko arusha na biashara zangu kila mwezi niko dsm. pengine tutakunywa walau soda.
mpwa naomba ulale
mpwa huku niliko liwazo langu ni JF tu ningekuwa Tz uongo ningelala japo kidogo
hahaahha
unaogopa jicho ehee, kama so jicho hauogopi...karibu.soda tu????usije ukanishikia pistol unile JICHO maana watu wa ARUSHA
Mmh unaruka au unapaa? hebu rudi cc mara moja halafu tukutane jamii intelligence
unaogopa jicho ehee, kama so jicho hauogopi...karibu.