tutajie basi aliyeiimba hii single,lol.
She got a gwan - Mangwair
Ila hatuwezi kuzungumzia one hit wonders bila kutaja Ice ice baby ya Vanilla Ice.
Ingine ni hii Gangnam style. Hii ni surefire one hit wonder.
by Marvin Gaye.Sexual healing
Thanks manoah.
ujumbe wa Nas ni mzuri sana,angekua karibu ningemwambia anywe supu bill kwangu lol.
by Marvin Gaye.
Huu wimbo naupenda sana.
Sikua najua ni one hit wonder.
Gangnam style na Azantoo style ipi kali. Nyani Ngabu queenkami
nadhani stevoh kachanganya kidogo hapa,ndio maana nikawa najaribu kufikiria ina maana Marvin Gaye hana hits nyingine,Sexual healing ni classic bana. Haiwezi kamwe kuwa one hit wonder! Na hata kabla ya sexual healing kulikuwa na 'let's get it on' ambayo nayo ni classic.
Nipe mimi badala yake.
sina uhakika,ngoja nigoogle nione kama ni one hit wonders.When I'm with You- ?? Edmonds?mdogo wake Babyface..
Je,For You-Kenny Lattimore, unaweza kuwa?
Kunywa kwa bill yangu