Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,223
Vyote unavopaswa kunyimwa.Hahaha.....sasa unataka shikamoo/heshima unaninyima nini kwa mfano
Vyote unavopaswa kunyimwa.Hahaha.....sasa unataka shikamoo/heshima unaninyima nini kwa mfano
Kaone!!Kunyomwa = kunyimwa
Shule ulienda kula kababu na kashata eeeh?
Nikajua unamaanisha vyote napaswa kunyonywa nichangamkie fursa.
Nipo mzee, vipi harakati zinaendelea?Eeeh brother...upo
Nakuaminia Master plan... Songesha gurudumuTupo sehemu nzurii...usipotokea usnitch nafikiri tutakick aseeh
uwiiii, nisamehe shem, nilipitiwa harifuuu(in mong'oo sound)Hivi shem wewe ni wa kunishtaki kweli?
mesikia mimi shem.Wewe kazi yako kuniita kwenye fursa. Sawa!!!