Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Ningekuwa jogooo. ...
kaone!!Ndio maana sio jogoo maana mitetea ingejuta, ungekuwa jogoo joni.
Ningekuwa jogooo. ...
kaone!!Unashabikia timu gani kwanza?Udogo kwenye vyeti tuu
..mabondeni na vileleni tutafika wote. Wewe nizungushe zungushe tu hii nusu saa ila najua wee wangu
Thubutuuu!! Kwani mimi mpishi!!Naahidi nitakupa mapenzi ya jogooo...nitakukimbiza mpaka utakapochoka.
Asubui ntakuamsha kwa kuwika unipikie chai tamu kuku wangu
nimeona bestUmeona eeh!! Hana adabu huyu mtoto!
hahahahahhahah oooops nimesahau nikachungulia tenaKwani mimi na upinzani na wewe hata...hata ukishabikia manyema au lobolo nitaiicha man u nitakufuata huko huko
wala mimi ndo nasuka mambo sasa, nini hujaona lakini?Wewe nakuona tu unavyoniaharibia
Kumbe man uKwani mimi na upinzani na wewe hata...hata ukishabikia manyema au lobolo nitaiicha man u nitakufuata huko huko
hahahahahaha nimecheka kwa nguvu kama mazuri, naondoka kabisaWewe katoto hebu jifiche chumbani huko...ngoja mtego ufyatuke ukunase uone nitakavyokutafuna
ok sawaUsiondoke bhana...ila kuwq mwangalifu
Uuuuwiii.... Singe, married, divorced¿???? Kweli hii poor you!!Mmh sijui am single,married or divorced, poor me!
uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).
Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo singleila sitafuti.
Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.
Ujumbe
View attachment 470174