Huu mguno unamaanisha nini?
naona unatafuta fursa bana shem. nimesema tu hakuna kingineAre you single? ???
Nauliza tu hamna kingine
hiii reply umeandikiwa au ni wewe.Zitakazo umia zaidi ni sehemu zetu za siri,![]()
haaa tutakuwa watano tu mkuu usiogope, au uliniona ile juzi ukala kona nini? ( in mong'oo sound)Nimetoka kidogo shem kwa mamon'goo....hehee naahidi ukija pm sitakuchomesha mahindi tena. Usije na mobb kubwa eeeh
hahahahhahahahahahahHamna wala chalii ake...mama milo alikaba nilikuwa hata sigeuki
nimefurahi babake (in mong'oo voice)Utapaliwa unacheka hivyo....
nimefurahi arifuuu, mimi nakunywa ile kitu inafanana na masiwa babakeee, nitafute tu mie pale matako bar ni nyumbani arifu.Mamake aseeh!! Tufurahi siku zenyewe ziko wapi aseeh! Itabidi tutafute siku tukashushee vitu pale matako bar arifuu au hubugiii?