jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
ndio hiyo roho inapenda babaakeee sasa mimi nifanyeje?Haina kwere chalaaa....eti ile kitu inafanana na masiwa![]()
inafanana na masiwa kabisa ati
ndio hiyo roho inapenda babaakeee sasa mimi nifanyeje?Haina kwere chalaaa....eti ile kitu inafanana na masiwa![]()
mimi huwa nasema leta ile inafanana na masiwa, weka kombe 2 kwa mojaUmenikumbusha mon'goo akienda mghawani anasema ero ebu lete ile yenye doadoa kama chui! !![]()
mimi sikamati hiyo kitu, ni ile ya masiwa tu na red wine.Sema dada zetu nawajua nyie ni nooma. Kuna rafiki zangu wanaenda simainofu 13 bila kupepesa....
nitakuja nae usijaliNitaona..uombe ruhusa lkn
anapendelea kuwa karibu na mimi sio kulindaMmh..naye kwa kulinda...hania mini au
Unaimba au unaniita?
Yaani watoto wa siku hizi majanga plus plus!!Mambo binti