SINGLE (S) special's thread

SINGLE (S) special's thread

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
S!jui tu kwaini picha imenijia ulivyojipinda kwenye ile zawadi!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shindwa na ulegee viungo vya kati
 
Ye mwenyewe kakushindwa, nilimuacha ajiburuze na hilo fupa lilomshinda fisi aongeze maujuzi, mwenyewe kanyoosha mikono juu!!
Ndo kakudanganya hivyo? Kwa vile nimempa ruhusa leo ya kuwa na wewe ndo unajishaua sio?
 
Nini tena hendsam wangu nimeshapanga ratiba ya leo usisikilize maneno ya huyo mwanamke ana stress za kuachwa
Hivi mnapataga raha kumbe tukiwa tunawa seduce eeh! Halafu unasikiliza mwanzo hadi mwisho then simple NINA MTU WANGU

!I can't wait.....
 
Wapi nimekwambia hivyo hivi wewe mwanamke fitna utaacha lini?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom