Khaa hii ni (heart) breaking news kwangu
Zigo lako hilo baba.Mmmh
Hivi mnapataga raha kumbe tukiwa tunawa seduce eeh! Halafu unasikiliza mwanzo hadi mwisho then simple NINA MTU WANGU
!I can't wait.....
kutongozwa raha asikwambie mtuWe foleni si ushazizoea?Khaa hii ni (heart) breaking news kwangu
We foleni si ushazizoea?
hapana kwa kweli nani kasema?Aliekumention hapa ananitafuta maneno
Abee wifi umesemaa..?Aliekumention hapa ananitafuta maneno
mwambie "sijaribiwi"
Hivi mnapataga raha kumbe tukiwa tunawa seduce eeh! Halafu unasikiliza mwanzo hadi mwisho then simple NINA MTU WANGU
!I can't wait.....

Wacha we!!hapana kwa kweli nani kasema?
Halafu wewe kila zigo unanipa zawadi nazo zipo ...utaniua
naomba jina la mentor lifutwe hapa watu wasijeanza "kumnyapia nyapia" bureeeAbee wifi umesemaa..?
Tumeshaanza karibu tunamnyakuanaomba jina la mentor lifutwe hapa watu wasijeanza "kumnyapia nyapia" bureee
ila sitafuti.
. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.
[/QUOTE]Nimependa ujumbe, you are very right, being single is healthier than being in a wrong relationship
QUOTE="Daby, post: 19709193, member: 255586"]uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).
Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo singleila sitafuti.
Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.
Ujumbe
View attachment 470174