FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Si nimekualika tumingle..Nimealikwa wapi?

Si nimekualika tumingle..Nimealikwa wapi?

Napenda sana kuwa huru....nadhani ndio maana sioni tabu kuwa single.UnajiteteA bila sababu
WerevaaI enjoy being single(maneno ya mkosaji)
hakunaga single huku tunajipa moyo tu.uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).
Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo singleila sitafuti.
Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.
Ujumbe
View attachment 470174
Bora hata mimi bikra niongee.hakunaga single huku tunajipa moyo tu.
single halafu mtu anatoa na kugawa ugegedo/dwa.
Sio fair kuitana singles halafu la juu linafanyika.
tuitane wale wa no string attached tu period.
Maisha sio lazima Ku dateAm single and am happy.

Mke mwenza unamdanganya nani kuwa wewe ni single wakati mume nimekuachia mimi ndio niko single sasa hivi.
says who? Yaani mimi niko singo mbona toka siku nyingiKaz yenu nyeto tumasingle boy huwa tunaraha sana...no stess,no kuhonga,hatutaki shidaa sisi life lenyewe tight hili
Khaa wote hao wangu? Ila niko singo sasa usinibishie
Ooooh kumbe!!!!Khaa wote hao wangu? Ila niko singo sasa usinibishie
Tena usinichomee picha kabisaOoooh kumbe!!!!