Kudate huyo mwanamke unahitaji kuwa na moyo wa ziada aisee
Yaani hadi wewe amekushinda!! You cant be serious.Kudate huyo mwanamke unahitaji kuwa na moyo wa ziada aisee
what..?Abeee..umesema?Kudate huyo mwanamke unahitaji kuwa na moyo wa ziada aisee
Wereva plus![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wereaa!
Uwiiiii!! Kumbe wewe nawe umo kwenye list!! Ila nyie mnawezana.Kumbe anataka anichezee halafu ani dump eeeh...
Nimeshamjua
Habari ndio hiyo.![]()
what..?
Come on Daby...yaani maneno kiduchu tu hayo yanakutingisha? Kuwa mwanaume bwana njoo kwangu ule valentineKumbe anataka anichezee halafu ani dump eeeh...
Nimeshamjua
Nitake radhi..unajua ninaratiba ya kugegeda?

EheeNitake radhi..unajua ninaratiba ya kugegeda?
we si ni singo wajameniHahaa lakini unajua kuwa mimi nainjoi ukewenza...kazi kwakoHabari ndio hiyo.
Nini wewe mwanamke unataka kunipeperushia ndege wangu?Uwiiiii!! Kumbe wewe nawe umo kwenye list!! Ila nyie mnawezana.