Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Avatar inakugharimu kwani kuna watu walishakuomba papuchi huko pm??[emoji30]Tena dume la mbegu kabisa sema avatar yangu inanigharimu sana
Avatar inakugharimu kwani kuna watu walishakuomba papuchi huko pm??[emoji30]Tena dume la mbegu kabisa sema avatar yangu inanigharimu sana
Sasa mbona unatuambia sisi tu.. Wakati na wewe ni mwenzetu bana.... Sema masingle wote hatutaenda popote [emoji23][emoji23]uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo, yananogaga asikwambie mtu).
Sio kazi rahisi kuwa single. Zinahitajika efforts za ziada kujipa moyo na matumain ili uweze kusonga mbele na maisha. Kuna ambao mpo single kisa mmeachika soon, wengine niuamuzi wenu, wengine mlitendwa kiasi kwamba mnaogopa kujiingiza kwenye mapenzi tena na mambo kama hayo . Poleni sana. Binafsi nipo single [emoji4] ila sitafuti.
Kesho ndiyo siku yenyewe bhaana. Wenye watu wao watapeana zawadi na kuonjesha ladha zao [emoji15]. Masingle wote najua hamtaenda mahali so poleni. Koh kaeni hapa mfarijiane. Pia mnaweza mkabahatishana na kuopoana humu mapumzikoni mwetu mkayajenga na kesho historia ikaandikwa upya.
Ujumbe [emoji116]
View attachment 470174
ha ha ha ha embu nionyesheDubwasha fulani hivi limebinuka sijui lina kazi gani!!
Crush kwangu ni Miss Natafuta na papuchi yake yenye kilo tano!ndo alikuwa crush wako nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zitakazo umia zaidi ni sehemu zetu za siri, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kila mwenye madoa ni chui....wengine fisi!Wanaocoment wote ni single???? Nauliza tu..... Kumbe single wapo wengi hivyo....
And thats why Adam had Eve right?Being single is a gift from GOD.