Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
ok basi nitaleta mrejeshoKesho ukibaki nyumbani pasipo kupewa zawadi..kuambiwa maneno ya upendo wala kufanyiwa kitu chochote na mwanaume asiye ndugu yako na hali ikaendelea hivyo pasipo kupose basi hiyo itakuwa maana sahihi ya Usingle.
