Hapo sawaSio kila mwenye madoa ni chui....wengine fisi!
Eheee.... Pole sana asee... Kwo kesho nijekupitia twende batani au utakuwa kwenye crew ya mabachela?Yule binamu yako mwanasiasa saana. Baada ya kutajwa orodha na makonda kahama mji
Lengo nisikae mbali na chura...
We unazo laknNjoo fasta achana na huyo Behaviourist hana hela![]()
We kibokoo jamani hahahaAcha unoko wewe...
we kama bonny nimebadili gia njian acha nitafute mwingineNiliogopa kujaza pm mpendwa...upo single na wewe? ?
HhahahhahaÀaaah wapi ni uzembe wa kushindwa kufika pm kwangu