Chumba kimoja single maeneo ya sinza,bamaga,mwenge kizuri kinahitajika kisizidi elf 60
Maeneo gani Mkuu?Sawa mkuu kilikuwepo chumba self na kijiko kwa ndan sema kuna lijibaba limeshakchukua kina na liku yake
Njoo huku pande za kwetu wewee unajbebea chumba sebule choo jiko luku yako kwa 120
Kwani hamna nyumba yenye wapangaji wa3 tu? Wa wapi wewe?Sina kawaida ya kudharau Pesa,
Vipo vyumba hadi vya 50.
Shida ni hayo masharti ,
Unataka chumba kimoja lakini nyumba isiwe na wapangaji wengi?
Hapa ndipo panapoleta 'ukakasi'.
...teh hee hee!namna hiyo,safari moja huanzisha nyingine!KSasa nashindwaje
Nipigie Boss:+255-714-59-15-48
Wahapahapa.Kwani hamna nyumba yenye wapangaji wa3 tu? Wa wapi wewe?
Akili chafu huishia kufikiria Uchafu....teh hee hee!namna hiyo,safari moja huanzisha nyingine!
..yajayo yanafurahisha!
...teh hee hee...akili 'safi' hung'amua lafudhi tamu kwa maandishi,Hii lafudhi yako mbona tamu hivi,
Wakwetu Pwani weye?
Eee!...teh hee hee...akili 'safi' hung'amua lafudhi tamu kwa maandishi,
..au sio bwana dalali
Pole sanaNdo anaanza maisha chumba na sebule hakihitajiki
Kweli ndio maana hutaki wapangaji wengi kwa hali hiiTafuta mwenyew
unishtue na mimi
Tenda Wema uende zako. Hujui huyo mkuu yupo kwenye hali gani.Ee mtoto wa kiume unatakaje slope yaani mm nihangaike afu nikipata nikustue mxiuuu
kuna bonge ya room iko makongo juu,ni self na ni kubwa na kodi yake imecmama kdg,,ukiitaka ni pm,Preferably kinondoni!
Umeme
Maji
Wapangaji wasiwe wengi!
Nikipata bila dalali itapendeza zaidi!
Kila LA kheri katika mazingira mapyaAya ngoja nimtagg mkuu
Naweza nikabarikiwa