Single parents wanazidi kushamiri, kwanini?

Umeuliza kwa sababu unahisi ni tatizo?
 
Wanakamsemo kao wanasema "Siku hizi hatuzeeki, tunakufa tu" so wanazaa mapema ili hata wakija kufa awepo wa kuendeleza jina

Unanikumbusha Msaidizi wa afande IGP aliyefariki na familia yake.
 
Kuporomoka kwa maadili na tamaa ya wadada kukosa uvumilivu

Mkuu....
Kwahivyo umeona kabisa kwàmba wadada ndio wamekosa maadili, pia wameendekeza tamaa na kukosa uvumilivu?
Je wakaka wao wana positive side ya hayo unayo yasema!?
 
It takes two to tango.

Thusly, the increase of single mothers has to be inversely related to the increase of deadbeat dads.

Shameful.
 
Wanaume walio wengi wanakimbia majukumu sana siku hizi na haya ndo madhara ya taifa la mariooo wengi...Kuna mario anaweza ku-run family?
 
Wanaume wanawaogopa hao wanawake balaa kiasi cha kutoka nduki mara baada ya kuharibu.
 
Chips kuku na smart phone vimezalisha mimba nyingi sana na kiu ya kuolewa pia
 
Wanaume wa siku hizi ni tabu kuwapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…