Single parenthood. Do not settle for less

Single parenthood. Do not settle for less

I was raised by a single mother. She raised 6 kids alone. Strongest woman i know. Stop shaming single mothers! She is a mother because of a man who refused to fulfil his responsibilities. Shame dead beat dads.
Nakuhunga mkono

Daah Kumwaga sperms na kusababisha kutengenezwa kwa foetus ambae baadae anakuwa developed mpaka anazaliwa hakukufanyi kuwa baba ni majikumu ndo yanakustahili hilo jina

Mi naona hawa watu wakikimbia mimba au kuitelekeza wasiitwe baba waitwe msela mavi
 
Sometimes mnashinda
Hujawai kuwaona wanawake wanaotumia wanaume kwa intention zao wakimaliza wanampiga chini na jamaa vilevile ana face aftermath
Yaani huo ndo ukweli we bisha utakavyo ukweli ni kwamba mda mwingi ni upande mmoja. Kutokana na biological nature ya wanaume wanaweza kuhit and run. Mwanamke atapatwa na aftermath siku zote. Women do not win in this at all.
 
Hili suala ni zito sana...Ijapokuwa,kuna baadhi ya wanaume hawa play fair kutokana na kwamba hawakuwa tayari kuyapokea majukumu

Ila kuna wanao kataa watoto kwa sababu waligundua kwamba wanawake zao wana wapanga foleni na wanaume wengine...kitu ambacho huwa kina changia kuleta mkanganyiko katika mahusiano
Wanaozalisha singo maza kwanini wasiwaoe..Nani chanzo kikuu cha ongezeko la watu hao?
 
Mie nimeoa mwenye mtoto,[emoji3059][emoji7]View attachment 1279109
Kweli wewe una upendo wa dhati kabisa!
Akija kubadilika chukua maamuzi matamu, ila nawe usibadilike.

Watu wa hivi wanahitaji zaidi HEALING LOVE na ufariji mzuri. Utawafurahia zaidi ila uwe una muonya kwa maneno laini ili asije kubadili gia angani baada ya kupona makovu yake ya moyo.
 
Sometimes mnashinda
Hujawai kuwaona wanawake wanaotumia wanaume kwa intention zao wakimaliza wanampiga chini na jamaa vilevile ana face aftermath
Wanamtumia mwanaume kwa lengo gani pesa? Pesa inarudi ila sio dignity. Naomba unitolee mfano wa aftermath ambazo wanaume wanapitia
 
I was raised by a single mother. She raised 6 kids alone. Strongest woman i know. Stop shaming single mothers! She is a mother because of a man who refused to fulfil his responsibilities. Shame dead beat dads.
Kama waliachana hapo inakua tofauti na mtu aliepewa mimba na hajaolewa na aliempa mimba..
 
Nimekaa miaka mitano na date na single maza na sikujua.... Haya maisha haya kweli KARMA IS A BITCH.....
 
Wapo mabinti wengi sana wanasoma miaka +30 sasa na hawana watoto na hawajawekwa ndani

sio kigezo pekee
Mapenzi yana nguvu sana...mtu akikupenda kweli haijalishi ukoje
 
Write your reply...hakuna kitu na enjoy kama Ku hit and run yaani napenda unizungushee weeh uniambie sio type yako unitemee hata mate nitahakikisha nakupata kwa hali yeyotee ile kwa uwezo wangu wotee na nikikupata nikikufunua baada ya game nakutimua hapohapo unavaa unasepa

ila hakuna kitu nachukia kama mtu kutelekeza mtoto huo ni upuuzi tena mkubwa sana
 
Kweli wewe una upendo wa dhati kabisa!
Akija kubadilika chukua maamuzi matamu, ila nawe usibadilike.

Watu wa hivi wanahitaji zaidi HEALING LOVE na ufariji mzuri. Utawafurahia zaidi ila uwe una muonya kwa maneno laini ili asije kubadili gia angani baada ya kupona makovu yake ya moyo.
Akibadilika ntaendana na kasi ya mabadiliko
 
Back
Top Bottom