vannistelrooy
JF-Expert Member
- Jan 31, 2017
- 316
- 657
Kuwa na mtoto afu baba wa mtoto hampo pamoja kwenye mahusianoSifa ipi inapelekea mwanamke kuitwa "single mother"?
Sasa hapo amekuwaje "single mother"?Kuwa na mtoto afu baba wa mtoto hampo pamoja kwenye mahusiano
"Single mother" hapo ni term tu iliyozoeleka na ikatumika kwa wanawake walio katika hali hiyo..Sasa hapo amekuwaje "single mother"?
Tunatumiaje "term" ya uongo? Au kwa kuwa kuna wajinga wa kizungu wana tumia neno hilo na sisi tunaona sifa kulitumia?"Single mother" hapo ni term tu iliyozoeleka na ikatumika kwa wanawake walio katika hali hiyo..
Ni sahihi kabisa kuita single mother..according to dictionaryTunatumiaje "term" ya uongo? Au kwa kuwa kuna wajinga wa kizungu wana tumia neno hilo na sisi tunaona sifa kulitumia?
Mimi naona hilo neno ni la kujidhalilisha/kumdhalilisha mwanamke.
Neno hilo lilitumika kwanza kwa mwanamke aliyebakwa bila kumfahamu aliyembaka na kupata una uzito kwa kitendo hicho cha kinyama.
Kuna sifa ipi kuitwa au kujiita hivyo?
Si sahihi, huko ni kuhalalisha zinaa. Ni sifa mbaya mwanamke kuzaa mitoto isiyokuwa na baba.Ni sahihi kabisa kuita single mother..according to dictionary
Single mother ni mwanamke mwenye mtoto na hana bwana sababu ni mjane, kaachika au hajaolewa lakini alitokea kupata mtoto.
Sasa hapa kama sio single mother ni jina gani sahihi linafaa kumu express mwanamke ambaye ana mtoto na baba yake hayupo? Kuita single mother hatuhalalishi zinaa ila tunaelezea situation ya huyo mwanamke...Si sahihi, huko ni kuhalalisha zinaa. Ni sifa mbaya mwanamke kuzaa mitoto isiyokuwa na baba.
Inafikia kila mwanamme anaeingia nyumbani mtoto anaambiwa mwamkie baba'ko.
Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.
Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa. Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.
Soma hapa:-Tunatumiaje "term" ya uongo? Au kwa kuwa kuna wajinga wa kizungu wana tumia neno hilo na sisi tunaona sifa kulitumia?
Mimi naona hilo neno ni la kujidhalilisha/kumdhalilisha mwanamke.
Neno hilo lilitumika kwanza kwa mwanamke aliyebakwa bila kumfahamu aliyembaka na kupata una uzito kwa kitendo hicho cha kinyama.
Kuna sifa ipi kuitwa au kujiita hivyo?
Ni mama au jina lake tu. Hakuna kuongeza wala kuzidisha, muite mother pekee kama unataka uzungu usiokuwanao.Sasa hapa kama sio single mother ni jina gani sahihi linafaa kumu express mwanamke ambaye ana mtoto na baba yake hayupo? Kuita single mother hatuhalalishi zinaa ila tunaelezea situation ya huyo mwanamke...
Kwanza waache kuwadhalilisha kwa kuwaita "single mother".Mbona mnawaandama Sana hawa watu,hebu kueni ni ubinadam! Single mama kwani walitiana wenyewe wakazaaa! After all wapo waliogundua makosa Yao wakaamua kuwa wanawake wema tuu!
Single mamas are excellent wives walio wengi ila Kwa kuwa mna negative mentality nao hamuoni mema yao
Tena kama unaona mama halifai muite kama unavyowaita wanawake wengine. Siyo kuwadhalilisha.Ni mama au jina lake tu. Hakuna kuongeza wala kuzidisha, muite mother pekee kama unataka uzungu usiokuwanao.
Baba awepo, awe kafa, awe kayeyuka, mama anabaki kuwa ni mama tu.
Basi sawa hapa nimegundua kuita single mother ni kama kuwadhalilisha wanawake..Ni mama au jina lake tu. Hakuna kuongeza wala kuzidisha, muite mother pekee kama unataka uzungu usiokuwanao.
Baba awepo, awe kafa, awe kayeyuka, mama anabaki kuwa ni mama tu.
KabisaKwanza waache kuwadhalilisha kwa kuwaita "single mother".
Comment nzuri sanaAll in all women are the victims. Sometimes anakujulisha yupo kwenye siku za hatari but you don't care sababu ya mizuka. Hasa akizingatia ushampa promise nyingi tu za future and she believed in you, she can't resist much. Halafu kama wewe unafahamu hupo tayari kua baba you can pull back hana control na orgasm yako ni wewe mkuu. Kuna many innocents girls wamekua single mothers sababu watu waliowaamini wamewasaliti na sio kua walikua vicheche.
Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.
Kazalishwa... Haishi na aliyemzalisha.Sifa ipi inapelekea mwanamke kuitwa "single mother"?
Aisee...Hayo ya dictionary ndiyo hayo niliyosema kufata ujinga wa wazungu, mradi mzungu kafanya ujinga huo wewe unaukubali tu kwa kuwa kasema mzungu.
Hakika hayo ya kuiga wazungu hata kama kitu kinakudhalilisha utu wako ni mawazo ya kitumwa.
Ndiyo maana wazungu wanatudharau sana.