wa 3 mkuuMkuu umejaribu single mothers wangapi hadi uje na hilo hitimisho?
Ni nini kwanza maana ya single mother? Kuna mtu ana double au triple mother?
kamanda nimeuliza tuu why wanakuwa hivi mana mm uwa napiga na kusepa tuu ila nikiwachaga uwa wana umia sana yani unakuta mtu anakucare balaa sasa najiuliza why aliachwa na akawa single mother nini tatizo???Sasa unataka tukushauri nini wakati wewe ndio mdau wa hao single mother
hahahahahahawatamu kwa kweli. yaani acha tuu mambo anayonipaga huyu single mama wangu mie mwenyewe hoi. alafu raha sasa kanakwambia bby usijali mie nilishazaa wee tule bata tuu...yaani hapo ndio napata stim yakumgegeda zaidi
Stop being negative! wanaume wengi ndio wenye matatizo na wanavuruga future za mabinti kwa kuwazalisha na kuwakimbia.
Labda "Single Parent"
Kama hujafikisha miaka 45 usioe hawa watu.
Usithubutu utajutaLabda "Single Parent"
Kama hujafikisha miaka 45 usioe hawa watu.
Sio kweli wangine wao wnyeww wanajiachisha au kusikiliza wazaziStop being negative! wanaume wengi ndio wenye matatizo na wanavuruga future za mabinti kwa kuwazalisha na kuwakimbia.
Mkuu si unafahamu timu inayoongoza kwa goal moja au zaid, inavyolinda isifungweWakuu habari za saiz...!!!Mko poa jamani?Ok twendeni kwenye Mada husika hapo juu mm ni kijana wa kiume katika harakati zangu nikapataga mwanamke ambaye ni single mother aisee uyu dada anapenda na kucare balaa sasa mpaka najiuliza inakuwaje ma single mother's uwa wanacare na kujali wapenzi wao hivi.??
Au anapalilia ila nimuoe na kwann uyo baba mtoto wake alimuacha uwa najuliza haya maswali sipati jibu aisee hivi kwann ma single mothers uwa wana care sana wapenzi wao wakiwa katkia mahusiano mapya tofauti na mwanamke aliyekuwa hana mtoto nini hasa upelekea single mothars kuwa na mapenzi ya dhati
Sent using Jamii Forums mobile app
All in all women are the victims. Sometimes anakujulisha yupo kwenye siku za hatari but you don't care sababu ya mizuka. Hasa akizingatia ushampa promise nyingi tu za future and she believed in you, she can't resist much. Halafu kama wewe unafahamu hupo tayari kua baba you can pull back hana control na orgasm yako ni wewe mkuu. Kuna many innocents girls wamekua single mothers sababu watu waliowaamini wamewasaliti na sio kua walikua vicheche.wacha jazba kaka...wanawake ndio mabwege...kwanini wao wanapanua miguu yao hovyo hovyo huku wakijua kuwa mijanaume inasepaga.
kwanza kabisa mie nikikubaliana na wewe kugegedana haimanishi kuwa tumekubaliana kuzaa. hapa wewe tupo hapo kugegedana. ukitaka mtoto niulize kwanza.