Single mother's ujumbe wenu mzuri huu apa

Single mother's ujumbe wenu mzuri huu apa

Kwa hio wanaume ni chui au acha kutusema indirectly tatizo hawa unaowatetea ni pasua kichwa hata mm mwanzo nlkuwa nawatetea sema yalinikuta na Mimi

Try at your own risk
 
Yamekukuta yapi ayo mkuu
Kwa hio wanaume ni chui au acha kutusema indirectly tatizo hawa unaowatetea ni pasua kichwa hata mm mwanzo nlkuwa nawatetea sema yalinikuta na Mimi

Try at your own risk
 
Kwahiyo sisi wanaume ndiyo chui?

Tunaongeza changamoto kwa single motherz badala ya kuwasaidia?

Huu ujumbe ulipaswa uwalenge jamii nzima na siyo kundi la watu wachache. Maana suala la kulinda watoto lipo kwetu sote.

Au wewe unaonaje?
Ndiyo wanaume wanaowazalisha wanawake ambao hawana malengo ya kuwaoa ni chui na ndo chanzo cha single mothers wengi duniani
 
Kwahiyo mwanaume mmoja akiwa shoga basi na wanaume wote wamekuwa mashoga si ndiyo?
Chunga kauli mwanaume hafananishwi na huo upuuzi tafuta mfano mzuri. 80% ya single mama's ni watata... wengi wape
 
Huyu chui ana akili kukiko baadhi ya single mama unaowazungumzia, wengiwao huenda kuwabwaga watoto kijijini kwa mama zao na kurejea mjini kula bata bila kufikiria maisha ya hao watoto wao yanakuwaje bila baba na mama. Watoto wao wengi huishia shule za kata tena kwa taabu kubwa.
 
Hii inatokana na baba kumtelekeza mtoto na mama, wakati huo mama hana uwezo wa kumlea mtoto so anachofanya ni kumpeleka mtoto nyumban alafu yeye akaenda kutafuta pesa.
Huyu chui ana akili kukiko baadhi ya single mama unaowazungumzia, wengiwao huenda kuwabwaga watoto kijijini kwa mama zao na kurejea mjini kula bata bila kufikiria maisha ya hao watoto wao yanakuwaje bila baba na mama. Watoto wao wengi huishia shule za kata tena kwa taabu kubwa.
 
We are living in Imperfect world
All these things that are happening in one way or the other they have to ( because the world itself is imperfect)
 
Hii changamoto inaanzia mbali sana, kuipunguza kwake ni kujaribu kutatua mzizi wa tatizo lenyewe ambapo si sababu moja, sababu zipo nyingi na zote zinategemeana

Pia si jambo la kutafuta upande upi au jinsi ipi ya kutupiwa lawama, kila mmoja wetu kwenye jamii kwa nafasi yake ashiriki kuhakikisha jamii inakuwa salama

NB: UKIKUBALI WAJIBU TIMIZA WAJIBU
 
Hii yote ni shida ya kuanza zinaa mapema/kabla ya kuamua kuishi pamoja kama mke na mume, tatizo lisingekua kubwa kiasi iki, ila kweli kila mtu abebe au awajibike ipasavyo kwenye majukumu yake.

Back
Top Bottom