Lkn jmn naona wngi wanazungumzia upande mmoja,kunawaobakwa wanaopata mimba mashuleni ktk ile foolish age xx na hao tunawaweka kundi gani???hili swala lipo deep xana na nipana mno tucilichukulie juujuu,na wngi wa single maza ni hao wa mimba mashulen afu kidume anakula kona miaka 30 jela mchezo!!!![emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Posts na majadiliano mbalimbali juu ya hawa ndugu zetu waitwao "single mothers" katika mitandao ya kijamii "social networks" zimeonekana kuwa nyingi nowadays ....
Kando na "discussions" hizo huko mitandaoni hata huku katika maisha halisi "single mothers" pia waonekana kuongezeka afu wengi wao waonesha kuinjoi kweli life yao ...
Swali: Ni nini kisababishi (source) kubwa ya uwepo wa familia hizi?
Mnh labda kama huna watoto,ukiwa nao hao ndio wawe important,sio mabishano ya kijinga na mkeo,paka anaenda na paka,mpaka umemuingiza ndani/kumuoa huyu ni paka mwenzio ,lol.
Lkn jmn naona wngi wanazungumzia upande mmoja,kunawaobakwa wanaopata mimba mashuleni ktk ile foolish age xx na hao tunawaweka kundi gani???hili swala lipo deep xana na nipana mno tucilichukulie juujuu,na wngi wa single maza ni hao wa mimba mashulen afu kidume anakula kona miaka 30 jela mchezo!!!![emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
I second your opinion Mama Obama .... It's true with that idiomatic expression .... How comes both parties ( man & woman ) are involved in the ACTION but the responsibility goes to only one?
Kujifanya mwanaharakati wa haki za wanawake,Kujiona una elimu kubwa,Kupenda starehe,kuchagua sana,Kudanganywa na wavulana wasio na msimamo,Kua na kibri,Kupenda wavulana usio match yako,etc hayo yote mwisho wa siku ni mimba isoyobaba