Single mother ukifanya hivi utaweza kuolewa

Ningekuwa sina uwezo wa kuhudumia nisingemchukua na sasa nina five yrs niko nae dogo yuko shule nzuri na now ana 10 yrs! A kiwa mkubwa atamtafuta mamake
Umemtesa sana mama wa mtoto na nina hakika hakuwa na ewezo wa kumtunza hivyo amekuachia kwa shingo upande. Unamfanya asiwe na bond na mama yake mzazi wakati na mama wa kambo si lazima kuwe na bond pia! Hapana unafanya kosa tena nadhani ni la jinai!
 
Hayo ni mawazo yako na unaruhusiwa kuwaza utakavyo! Unadhan mama yake hakuona mbele kuwa mwanae akikaa na mimi uwezekano wa kufanikiwa badae upo na atakuja msaidia kuliko angekaa nae labda angeishia la saba pekee
 
Hahahaha una haki ya kuniona nina roho mbaya ila nilichokifanya ndicho kinachonipa aman katika ndoa ya sasa na ningefanya unavyotaka wewe ningeshaachana na niliyenaye kwa sababu hizo hizo za kisingle mother mnazozipigia kelele
na yeye pia unampa uhuru wa kuwa na aliempata anakua hana wasiwasi na wewe, njia nzuri sana hii
 
Hii kitu ya single mothers ukiichukulia hivyo unamuonea mtoto! Huwezi jifanya kosa halikutendeka! Mshazaa ko kubali tu matokeo na uwe muaminifu! Kama hutaki mambo ya kupasha basi tumia condom au njia zingine za kuzuia mimba ili yasikukute haya! Unamtesa tu kiumbe asie na hatia
 
Malalamiko ya single mother kuwa majanga ukiwaoa yameongezeka sana but naomba niwape ukweli na kuwasaidia

Kwanza hata mseme kuwa hampashi vipolo na wazazi wenzenu au mseme hilo wanalifanya wajinga ni kujidanganya kwa sababu yawezekana kweli hampashi vipolo lakini bado mna mawasiliano na wazazi wenzenu mkitumia kigezo cha mtoto na hilo ni kosa kubwa sana! Hakuna binadam anayeweza vumilia kuona laaziz wake akiwa na mawasiliano na mtu mwingine tofauti kirahisi tu na aone sawa!! Tena mtu mwenyewe walishawahi kufanya sex!!!! Haipo hiyo!!

Lafiki yangu alishawahi vunjikiwa ndoa mbili kwa sababu alikuwa ana watoto nje na alikuwa anawahudumia tu ila zile simu na mawasiliano na wazazi wenzie zikawashinda wanawake aliowaoa na hiyo ni kitu cha kawaida

Solution:- lazima mmoja kati yenu akubali kumpoteza huyo mtoto mpaka ukubwani

Mfano! Mimi nina mtoto tayali wa nje ya ndoa nilimpata nikiwa kijana,nilichokifanya kuepuka haya majanga ya mzazi mwenzangu ni kukaa na familia yake nikawapa fact za mawasiliano yetu yanavyoweza kuathiri ndoa zetu za badae na nikawapa sharti kuwa ni lazima mtoto amilikiwe na mmoja kati yetu jumla mpk atakapokuwa mkubwa,,,kama wanabaki nae wao siruhusiwi kupiga simu wala kumuulizia mpk atakapokuwa mkubwa anitafute na siruhusiwi kuchangia hata 10 ya makuaji yake au aje kwangu na wao wasipige simu wala kuulizia chochote juu ya mtoto nitake full responsibility mpk atakapokuwa mkubwa akitaka kumjua mamake ndo nimpeleke.

Sharti langu likawa gumu ila hatimae likafikiwa mwafaka nikawalipa gharama za malezi tangu akiwa mdogo mpk umri ule ingawa nilikuwa nawatumia pesa tangu alipozaliwa baada ya hapo nikakabidhiwa mtoto jumla.
Miaka mitano imepita no calls, hakuna anayeuliza chochote na hairuhusiwi na hii inasaidia niliyenaye asiwe na presure yoyote juu ya mama yake mtoto kuwa labda tunapiga vipolo wala nini.

Hii njia anzeni kuitumia itawasaidia jaman ni either u loose or upate!! Ila inabidi uwe na roho ya kijasiri sana. Lakini mkiendelea kuruhusu mawasiliano na ma ex kisa eti mtoto mtaendelea kukimbiwa na wanaume na kuonekana hampaswi kuolewa milele
Lord have mercy....
 
siye mkoani kwetu mtoto unamgomboa kwa kulipa kama mahari then unaishi naye kwako ila kipindi cha likizo akitaka kwenda kwa mama yake ruksa kwenda
 
Hayo ni mawazo yako na unaruhusiwa kuwaza utakavyo! Unadhan mama yake hakuona mbele kuwa mwanae akikaa na mimi uwezekano wa kufanikiwa badae upo na atakuja msaidia kuliko angekaa nae labda angeishia la saba pekee
mkuu unaongea na mabinti humu ndo maana hawajui lolote zaidi yakuandika mawazo mgando ndo maana wanadanganyika hovyo hovyo
 
Mi naona njia nzuri,tukiachana bas kila mwisho wa mwezi tukutane polisi kwa ajili ya makabidhiano ya hela ya matumiz ya mtoto,maswala ya kupigiana simu marufuku
 
Malalamiko ya single mother kuwa majanga ukiwaoa yameongezeka sana but naomba niwape ukweli na kuwasaidia

Kwanza hata mseme kuwa hampashi vipolo na wazazi wenzenu au mseme hilo wanalifanya wajinga ni kujidanganya kwa sababu yawezekana kweli hampashi vipolo lakini bado mna mawasiliano na wazazi wenzenu mkitumia kigezo cha mtoto na hilo ni kosa kubwa sana! Hakuna binadam anayeweza vumilia kuona laaziz wake akiwa na mawasiliano na mtu mwingine tofauti kirahisi tu na aone sawa!! Tena mtu mwenyewe walishawahi kufanya sex!!!! Haipo hiyo!!

Lafiki yangu alishawahi vunjikiwa ndoa mbili kwa sababu alikuwa ana watoto nje na alikuwa anawahudumia tu ila zile simu na mawasiliano na wazazi wenzie zikawashinda wanawake aliowaoa na hiyo ni kitu cha kawaida

Solution:- lazima mmoja kati yenu akubali kumpoteza huyo mtoto mpaka ukubwani

Mfano! Mimi nina mtoto tayali wa nje ya ndoa nilimpata nikiwa kijana,nilichokifanya kuepuka haya majanga ya mzazi mwenzangu ni kukaa na familia yake nikawapa fact za mawasiliano yetu yanavyoweza kuathiri ndoa zetu za badae na nikawapa sharti kuwa ni lazima mtoto amilikiwe na mmoja kati yetu jumla mpk atakapokuwa mkubwa,,,kama wanabaki nae wao siruhusiwi kupiga simu wala kumuulizia mpk atakapokuwa mkubwa anitafute na siruhusiwi kuchangia hata 10 ya makuaji yake au aje kwangu na wao wasipige simu wala kuulizia chochote juu ya mtoto nitake full responsibility mpk atakapokuwa mkubwa akitaka kumjua mamake ndo nimpeleke.

Sharti langu likawa gumu ila hatimae likafikiwa mwafaka nikawalipa gharama za malezi tangu akiwa mdogo mpk umri ule ingawa nilikuwa nawatumia pesa tangu alipozaliwa baada ya hapo nikakabidhiwa mtoto jumla.
Miaka mitano imepita no calls, hakuna anayeuliza chochote na hairuhusiwi na hii inasaidia niliyenaye asiwe na presure yoyote juu ya mama yake mtoto kuwa labda tunapiga vipolo wala nini.

Hii njia anzeni kuitumia itawasaidia jaman ni either u loose or upate!! Ila inabidi uwe na roho ya kijasiri sana. Lakini mkiendelea kuruhusu mawasiliano na ma ex kisa eti mtoto mtaendelea kukimbiwa na wanaume na kuonekana hampaswi kuolewa milele

Na muzae mtoto mwingine mapema mara baada ya ndoa, laasivuyo timbiri litaanza tuu,
 
mkuu hiyo ni best way kwa single mother ila kuna wanawake wagumu vichwa wameshndwa kumuelewa Baba yenu
si unajua binadamu mkuu ni wagumu sana kuelewa. wakumbuke Ronaldo na mwanae mpaka saivi hakuna mtu anaemjua mama wa mtoto yule
 
yeah ronaldo alimalizana na mama watoto wake
Kweli kama Ronald no star ila hakuna anayejua mamake mtoto na hakuna anayesema anamwathiri kisaikolojia why me? Sasa hata mimi mama wa mtoto wanaomjua hawafiki wanne
si unajua binadamu mkuu ni wagumu sana kuelewa. wakumbuke Ronaldo na mwanae mpaka saivi hakuna mtu anaemjua mama wa mtoto yule
 
Kweli kama Ronald no star ila hakuna anayejua mamake mtoto na hakuna anayesema anamwathiri kisaikolojia why me? Sasa hata mimi mama wa mtoto wanaomjua hawafiki wanne
hii njia nzuri sana
 
Hayo ni mawazo yako na unaruhusiwa kuwaza utakavyo! Unadhan mama yake hakuona mbele kuwa mwanae akikaa na mimi uwezekano wa kufanikiwa badae upo na atakuja msaidia kuliko angekaa nae labda angeishia la saba pekee
Angeishiaje la saba wakati baba yake upo?
 
Back
Top Bottom