Single mother ameniteka

Single mother ameniteka

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,101
Habar ndugu za nguni naombeni ushauri, nipo na single mother kwenye mahusiano Mwaka mmoja, nashangaa ghafla nimeanza kumpenda Sana na siwez kuacha kumpigia sim na kutumia sms, kipindi cha nyuma nilikuwa simpendi alikuwa ana ladhimisha tuonane Mimi nilikuwa na mpiga chenga Sana, siku Moja nika mkubalia tuonane na kweli tukaonana, siku hiyo tulivyo onana akanipa zawadi ya kuvaa mkononi lichuma flani akanivalisha mkononi, Cha kushangaza tokea siku hiyo nime kuwa nikimpenda na kumuwaza Sana tofauti na kipindi cha nyuma, Yan siwez kukaa bila kumjulia hari, wakat kipind cha nyuma ilikuwa ina pita miez simtafuti kabisa. Nashangaa sasaivi muda wote roho kama inataka kutoka kwa kumuwaza yeye tu huyu single mother, Yan asipo pokea sim yangu au kujibu sms zangu naumia Sanaa mpaka naanza kuisi Kuna Jambo nimefanyiwa kabisa, na Mimi sipendagi madem kutoka moyoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
imeisha iyo
 
Hapana hii kitu imekuja ghafla tu na Mimi wapenz wangu wazaman sikuwa kuwa waza Kama Nina vyo muwaza single mother, kingine siyo pisi Kali kuwazid watanguliz wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan ww nan aliekwambia hisia hisia/moyo huwa unazama kwa pisi kali? Huo ukawaida ni macho yako ndio yaona hvyo ila moyo/hisia zako zinautafsiri tofauti kabsaa kwaiyo usishangae.
 
Tell him
 
Back
Top Bottom