Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona wanawake wengi waliozalia nyumbani wakilalamika kuwa sisi wanaume ndio sababu ya wao kuwa single Mother, wengine wanasema "Kwani mimba tulijibebesha wenyewe" n.k
Ngoja niwaambie kitu nyie single mothers, huwezi kushindana na Mwanaume hata siku moja, na pia sisi wanaume tunatamaa za kingono kuliko nyinyi ndio maana tunaweza kutongoza kila demu mzuri anaepita mbele zetu.
USITHUBU HATA SIKU MOJA kujilinganisha na sisi wanaume UTAUMIA VIBAYA MNO!
Narudia tena UTAUMIA VIBAYA MNO!
Muumba wako alikupa Bikra ili ujitunze na sio vyenginevyo, lakini Sisi wanaume hatukupewa Bikra. Jiulize kwanini muumba aliwapa Bikra nyie na sio sisi wanaume?
Umeshindwa kuitunza Bikra yako mpaka ukabeba ujauzito halafu unakuja kutulaumu sisi wanaume wengi wenye tamaa. Ukiona nakutongoza na sijakuoa basi tafadhali jilinde namimi, maana naweza kukutafuna na kusepa kwa Kasi ya Treni ya Umeme inayoendelea kujengwa na serikali ya Mama Kizimkazi.
Tambua kuwa nikikupa Ujauzito niwewe ndio unapoteza zaidi kuliko mimi Mwanaume, kwahyo jitunzeni na acheni kumtafuta mchawi/mtu wa kumbebesha lawama.
NB. MWANAUME WA KUMZALIA NI MWANAUME ALIEKUWEKA NDANI TU, MAANA HATA SHERIA ITAKULINDA AKIZUNGUA.
OVA!
Mjanja M1