Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.

ww ndio huna uelewa unajua tupo na nani wenye msimamo huo? Nikiwataja unawaju??
Haya mm na Hamisi pamoja baba yako mdogo hatutaki kuoa single mom. Je umeridhika??
Kama ulizaliwa na single mom ww sema tu mm ntakuwa baba yko kwa kipindi hiki.
 

unakumbuka ulivyokuwa unarukaruka kama kinda la ndege ulivyokuwa hujazalishwa. Sasa hvi umekutana na vidume vya kazi vimekushona mimba umezalishwa nyumban unajifanya umetulia kumbe ni dunia imekufundisha uache kuruka ruka.
Ulifikir kula chips yai, chipsi kuku na soseji na bagga ni mchezo?
Matokeo yake ndio hayo kuzaa ukiwa nyumban
 

Huwa naona kama hili ni tatizo kubwa kwenye mahusiano, sasa tiba yake nini? Mama wa mtoto na baba mpya wapambane kulea huyo mtoto bila msaada wa baba mzazi? Manake hata ikiamuliwa mtoto akake kwa baba yake mzazi, naye huyo mama mtoto si atakuwa kila wakati anapiga simu kumjulia hali mwanae? Muziki wa mke wa baba nao sasa! Nafikiri issue kubwa ni watu wote wa pande mbili kuwa insecure....
 

Kichwa kinauma!!!!
 
Mimi siwezi nikabishana na mpuuzi kama wewe kwani nitakuwa mpuuzi pia,u know nothing...

Pia mimi sio mtoto mwenzio,as u think...ninauwezo wa kulisha wewe na babako
 

Hii kitu huwa ina complications nyingi tu, anaweza akawa anaonywa kama watoto wengine wa nyumbani, mtaa wa pili wakaja na hoja kuwa mtoto anateswa! Na ndio maana wengine huwa wanaachwa tu wafanye wanachotaka kuepusha shari, kumbe mwisho wa siku haina msaada kwa mtoto. Mie huwa nina imani kuwa kila mama alee mwanae......
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.
Kama wewe unajua kuhumu chukua mawe uje unipige nayo, walah wewe hata kwenu mzazi wako kakushindwa,mtoto anayejitambua hayuko kama wewe,ndio nyie mnaotukana hata wazazi nyumbani....

Yote kwa yote.....Am still a mum, na ndo mana nikakumbia hata mtu akaita majina yoote nitakuwa na kuzidi kuwa Proud of
 

Duuu aisee umeandika kwa hisia mpaka mwili umesisismka
to be honest mi sio muumini Wa mawazo haya but most of we men tunaamini hvyo
on behalf of all men wabinafsi na wasiowabinafsi tunaomba msamaha because asilimia kubwa ya wanaume kua na mtoto tunaona kawaida na jamii inachukulia hvyo but mwanamke akiwa na mtoto kashaonekana Malaya,hajiheshim,mzebe etc but deep down guys hyo mimba kapewa na nani kama sio mm na ww?
Kwani hana hisia?hamind sex kiss na nonihino?
Y r we so selfish?
Hongera kwa wanawake wote mnaojitambua
 
Wewe unaweza kulea mtoto wako ila wengi wao huwa wanataka mtu awasaidie kulea watoto wao

Jamaa aliekuzalisha anaweza kuwa bado anakula tunda mkikutana hii inawatua wanaume wengi mashaka wakitaka kuoa wanamama wenye watoto
 
ww ndio upewe ufahamu kuwa kuzini nje ya ndoa ni dhambi.
Ww mwanamke hatari sana unajifariji wakat ww ni mzinzi!
Kipindi cha sheria ya Mussa ulistahili upigwe mawe hadi kufa.

Wewe hujawahi kuzini?
 

mbona kama unaongea bila kufikiria ndugu.?
 

Is not the same
Ukimwambia mwanamke una mtoto hakuna ugumu sana kama mwanamke akikuambia ana mtoto let's be honest bro we have to stop being selfish
 

kwa mtu anayependa watoto hawezi kuboreka akisikia utundu wa mtoto wa mtu......mim navyopenda watoto napenda sana kusikia mtoto wa mwezangu anavyofanya utundu....
 

Umenena mkuu but hayo yote si tunapaswa kuyaongea kipindi cha uchumba?
 
Mimi nawashangaa watu wanaohukumu single moms kwamba et walikuwa wanarukaruka....hivi hawa wasiozaa ndo kusema wote ni mabikra? Acheni kuhukumu just bcoz matokeo ya kile unachokifanya hayajadhihirika....
 
Dah! Pole kwa unyanyasaji dada.. your Mr. Right is on the way, soon he will be there!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…