Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
jamani mbona sielewiiiiiiiiiiiiiiiiiii! mleta thread kawa nani tena?
ndio maana baada ya kupost anatoka online anaingia kwa ID nyingine?
JF inaumiza kichwa aisee! hahahaaa!!
miss neddy umeona huyu mtu wangu?
jamani mbona sielewiiiiiiiiiiiiiiiiiii! mleta thread kawa nani tena?
ndio maana baada ya kupost anatoka online anaingia kwa ID nyingine?
JF inaumiza kichwa aisee! hahahaaa!!
miss neddy umeona huyu mtu wangu?
Multiple IDs at work......:smile-big:.
Ila lazima atakuwa kaharibu sehemu maana admins huwa hawaziunganishi hovyo hovyo hizo IDs hata kama wanajua.
Hhahhaha me sio Kaizer bana
thibitisha lol
he he two in one umenikumbusha wakat nasoma walikua wanatumbia tusirudi shule two in one
Najua wa kucheka atacheka na mwenye akili atakuwa na akili, Mimi sio Morg nami nimeshangaa vaislay akawa morg,so whatever you think of me, its fine.....
Mtapeana miwani hata darubini ikiwezekana
Mimi nna wazo moja kwa mods, naomba nisikilizwe
hahahahah unanikumbusha enzi zangu usikute nilikuwaga headgirl wako lol
enheeeeeeeeee
enheeeeeeeeee
we ntake radhi wakati nasoma we ulikuwa baby class
Naomba mods wasipokee member wapya mpaka muombaji alete barua kutoka serikali za mitaa, na picha mbili passport size