nitaunganisha id zako nawe una hamu eeeehExcel umemmwaga eee lo
umeona eeeeh etiii anamjua hadi vin diesel lol
nitaunganisha id zako nawe una hamu eeeeh
Enhe..na nchi hizo ni...
tz na uganda sa siku moja kamdanganya kaizer wa watu etiii ye ni mganda na tz hapajui lol
Enhee na Kaizer akasemaje
Me nnawasiwasi member wa jf tupo si zaidi ya 20
Ngoja niifufue
Unaweza shangaa tupo 10
Me nnawasiwasi member wa jf tupo si zaidi ya 20
Unajua wengine kama mimi huwa hata hatujifichi na hizo IDs zetu zingine na huwa zipo standby tu just in case tunafungiwa maana always yupo one click away na ban.
Sasa kwangu ukimfungia NN basi ujue Bwa'Nchuchu ataibuka. Naye huyo ukimfungia basi ujue Jini Mapembe atatia timu na mwandiko utaendelea kuwa ni ule ule. Hatujifichi.
Sasa hawa wengine tatizo lao ni 'monkey see, monkey do'. Kazi kuiga iga tu kuwa na multiple IDs halafu hata hawajui dhumuni lake.
Au niko pekeangu
nitaunganisha id zako nawe una hamu eeeeh
hahaha nitavunjika mbavu leo... ongeza idadi kidogo