Single momz tunashida sana katika mahusiano

Single momz tunashida sana katika mahusiano

Status
Not open for further replies.
Ngachoka kapsaaa........kumbe u read my instincts eeh...was like whaaat..umenifunza vema mwalim
Nilikwambia mimi ndo teacher mwalimu!
Sa hiz we komaa na pale ulikofika mbali zaid!
Lol!
Mmenipunguzia machungu ya kufungwa na Parrelo!
 
Mwanzoni nilishangaa inakuwaje member
mpya afu anajua member wengine nikaignore
instincts kumbe my instincts were right

Unakumbuka ile thread ya Mr.Gentleman ya member wa zamani kuja na ID mpya alivyokuwa na kiherehere cha kutaka kuwajua
 
Last edited by a moderator:
Ila inawafaa nini?
Ni swali najiuliza spati jibu!

Unajua wengine kama mimi huwa hata hatujifichi na hizo IDs zetu zingine na huwa zipo standby tu just in case tunafungiwa maana always yupo one click away na ban.

Sasa kwangu ukimfungia NN basi ujue Bwa'Nchuchu ataibuka. Naye huyo ukimfungia basi ujue Jini Mapembe atatia timu na mwandiko utaendelea kuwa ni ule ule. Hatujifichi.

Sasa hawa wengine tatizo lao ni 'monkey see, monkey do'. Kazi kuiga iga tu kuwa na multiple IDs halafu hata hawajui dhumuni lake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom