miss neddy hebu come zis way kuna novida zako mbili unianbie uzurii
kigosi anakua kiungo mchezeshaji ngedere goalkeeper lolKama siamini vile?
Kwani mtu anapata faida gani akiwa anaitwa kigosi na ngedere?
Very simple ukiwa na device mbili!na alikua faster maana kucheza na ID mbili wakati mmoja yapasa uwe sharp. kuna ile ya niliemkosea morg aliandika sijui tusameheane akajibu faster leo yanipasa kuvuta kumbukumbu stahiki
kwi kwi kwi leo umenipatia ngoja niketi lol
kigosi anakua kiungo mchezeshaji ngedere goalkeeper lol
Instincts Kaizer.instincts !
Ulijiulizia mapemaaaaaa !
"Kwani huu mbadala viiiije?"
kigosi anakua kiungo mchezeshaji ngedere goalkeeper lol
Yaani huyo huyo? Au siku tofauti?
120/80 mwalimu wangu....na serengeti platinum pembeni.....wewe nadhani fresh juice itakufaa...mwaah
Ewaaa...enhe hapo zaman za kaale..
Instincts Kaizer.instincts !
Ulijiulizia mapemaaaaaa !
"Kwani huu mbadala viiiije?"
kwa ishu ya leo ilikua siku moja
Ngachoka kapsaaa........kumbe u read my instincts eeh...was like whaaat..umenifunza vema mwalim
Kama mods wanakubali hata hili utafiti naliona kubwa, ningelikata nusu