haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.
hapa umesema kwa busara sana,post za huko nyuma loooh,hvi unadhani waliopata ujauzito wote ni kwa sababu ya kula chipsi kuku,wee mwanaume wewe,binadamu hujafa hujaumbika,mara ngapi tunapanga mengiii sanaaa kwenye maisha na yanaenda ndivyo sivyo,,...all the best upate mke umtakae,DONt JUDGE SINGLE MOTHERS THAT BAD,,,inaweza mtokea dada yako or even ur daughter
Very soon mpnz. Ila ni lazima iwe kwenye andiko so ninaandaa andiko. Nakaribisha mawazo na maboresho kuhusu hili....km hutajali karibuUsiondokeeee eeheee lini unafungua ???
miss neddy hii si rushwa ya wazi wazi hii? ICHANA njoo nipe mwongozo...
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibayahebu nisaidie, hivi Tyson ina maana baada ya kuachana na Mona alikuwa na mke mwingine au alikuwa naye kabla?
aisee hii haikubaliki hata kidogo.......what an awkward situation
Anyway hili tunaweza kuliangalia kwa muktadha wa kwamba huyo mume hakuweka msimamo toka mwanzoni wa jinsi malezi yatavokuwa...nina mifano pia ya mabinti ambao wamekuwa upande wa step father wao ije mvua ije jua...hapo alitakiwa akae baba yake aliyemlea uyo mzee wa escrow anakuwa kama mwalikwa tu.....
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.
Nafikiri ni baada ya kuachana kwao. Ila Yule mdada alimezwa Kabisa hata leaders kwenye picha za blog hakupewa introduction km mke wa marehemu. Mtoto aliyekuwa anatajwa ni wa monalisa Wakati Yule mke wa sasa Ana mtoto pia....lazima alijisikia vibaya
Nshakuambia kimbia penasol ishaanza kufanya kazi na ukitegemea king Excel kapigwa chin utafiti ndo sitaki nataka anaogopa kumwambie cos ndo kaachika ..ila kafa kaoza kwa jamaa
Asprin ndo babu kijacho
Sasa wewe utakuwa position IPI?
Wote hawapo wine ishalegeza viungo
Kama unapark jua ni risk kwako Mimi zipo naogopa polis nishaona mbali tangia alipoingia bar huyu
no more party
Cc. miss neddy
Siku hizi unatoa nasaha duhhh haya bwana "mkubwa"wewe wasema, si kila mtoto anayekaa na mama yake analelewa na step father, humu watu mna mengi ya kujifunza.
wakubwa tunaona mbali sana hata tukikaa kwenye vigoda vyetu ambapo wewe hata upande mnazi mrefu kuliko yote huwezi kuona umbali huo.
na hili ndilo neno langu la mwisho usiku huu, nina majukumu mazito asubuhi sana.
Alamsiki.
sidhani kama alikuwa mke halali
Walishaachana may be Kama walikuwa wanachepuka. Mke wa sasa anaitwa somebody kimaro. Nenda kwa choka, milard ayo, na penginepo.lakini mona si ndo mke halali wa kanisani nitajie jina la hiyo blog
Kama nitakuwa sahihi Hawa Mona na Tyson walioana kwa ndoa before Ndio wakatenganasidhani kama alikuwa mke halali
Walishaachana may be Kama walikuwa wanachepuka. Mke wa sasa anaitwa somebody kimaro. Nenda kwa choka, milard ayo, na penginepo.
Hivi unajua monalisa alishaenda kupiga mdananda kwingine na walikuwa km mke na mume? May be kwenye vitabu vya dini majina yalionekana Kama mke na mme lakini kwa Nje walishaachana na kila mtu alienda kwenye mahusiano mengine.mke wa sasa kwani walifunga ndoa? mona ni mke wa kanisani ana haki zote wakristo hawaachani
Hivi unajua monalisa alishaenda kupiga mdananda kwingine na walikuwa km mke na mume? May be kwenye vitabu vya dini majina yalionekana Kama mke na mme lakini kwa Nje walishaachana na kila mtu alienda kwenye mahusiano mengine.