Usiondokeeee eeheee lini unafungua ???Mshaharibu Uzi kwa stori zenu za kichitchat....kwaherini hadi hapo tutakapokutana tena kwa mada nyingine. By the way Ninampango wa kufungua club ya single moms kwa DSM ikiwa na lengo la kutiana moyo kuhusu kukabiliana na changamoto zote tulizoziona hapa, pia kuielimisha jamii kuhusu kuwakubali na kutowaona wa ajabu. Nikiwa tayari nitawajulisheni wale SMs wa hapa JF ili mje kuunganisha nguvu ktk hili
kanaitwaje......🙂
Unganisha dot...Mimi sinywi...nakunywa juice...Nina winekuna kawaini nilipewa zawadi kamenishinda hapa kapo kama pambo room kwangu lol
kanaitwaje......🙂
yeeeeuwiiiiiiiiiiiiiiii nimesikia vibaya au?
Wembamba wa reli hata treni inapita
Excel vipi??wa nani sahizi
Naogopa kusaidia polis kesho juu ya utafiti kwa maana polis wenyew wapo Excel nt ile mbaya wanaweza kunifanya nutafute @ asprin bure
mchepuko wangu ndo namwambia ivo miss neddy sitaki zambi mie
halafu msikie apa chini
Uuuuuwi kalewa penasol
treni haiwezi kuchepuka, lazima ianguke
CC Asprin kwa kumbukumbu
mchepuko wangu ndo namwambia ivo miss neddy sitaki zambi mie
halafu msikie apa chini
treni haiwezi kuchepuka, lazima ianguke
CC Asprin kwa kumbukumbu
Unajua wanawake mnatupasua kichwa sana, hivi unamuongeleaje Mwanamke ambae alipendwa, tena kwa dhat na Mwanaume wa mtaani kwao, Ofisin ama hata college, kisha kwa sababu tuu ya hali duni ya mshkaji, mdada akamkataa kata kata, na badala yake akatanua miguu kwa Mwanaume mwingine kisa tuu huyo yy anapesa za kumzidi jamaa, kufika huko baada ya kutumika, dhaman yake ikashuka, akapata Mimba, jamaa akaikataa, kisha mama kajifungua mwana. Technically huyu ni single Mama, nae akirudi kwa Yule jamaa wa zamani, afu mshkaj akamchukulia kama Mfa Maji anaetapa tapa kutafuta baba wa pili, Utamlaumu Mwanaume?
Mshaharibu Uzi kwa stori zenu za kichitchat....kwaherini hadi hapo tutakapokutana tena kwa mada nyingine. By the way Ninampango wa kufungua club ya single moms kwa DSM ikiwa na lengo la kutiana moyo kuhusu kukabiliana na changamoto zote tulizoziona hapa, pia kuielimisha jamii kuhusu kuwakubali na kutowaona wa ajabu. Nikiwa tayari nitawajulisheni wale SMs wa hapa JF ili mje kuunganisha nguvu ktk hili
miss neddy hii si rushwa ya wazi wazi hii? ICHANA njoo nipe mwongozo...kaizer njoo ukachukue without
miss neddy hii si rushwa ya wazi wazi hii? ICHANA njoo nipe mwongozo...
Ni stori nzuri lakini kama sijaelewa vizuri,haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.
subirini basi na mimi nifike last page tuendelee wote....
Hehehehe kwani mzazi mwenzake na Shem wako hakuwa na mke? Manake binti alitakiwa atumie siasa kwenye ishu ya wazazi. Aseme tu alilelewa na baba 2 na mama 2. Kila mtu akae na mkewe. Viti vya wazazi viwe 4. Umeona msiba wa Tyson ? Monalisa amepewa airtime as if yeye Ndio mkewe wa sasa Hadi nimemuonea huruma mjane halisi. Alivyojiweka ni km yeye Ndio mke wa marehemu. Pale wivu lazima.haya turudi kwenye mada, kuna jamaa langu moja nililisindikiza kwenye send of ya step daughter wake kufika kule yeye nimekaa nalo viti vya waalikwa hightable kakaa mke wake na mzazi mwenzake hii ilinipa tabu kidogo kwenye kulishwa keki na kuinamiana kuteta ya hapa na pale wazazi wenza, jamaa langu nililiona kama linataka kupasuka halafu limzazi mwenza sijui ndio patner wa yule singasinga wa escrow limetowa funguo ya gari pale pale zawadi ya bibi harusi.