Ameshindwa kuwa straightforward.Dhumuni la barua yako kwa hadhira ni lipi hasa?
NakaziaDhumuni la barua yako kwa hadhira ni lipi hasa?
Nafikiri dhumuni ni kutaka kujua mrejesho ukoje. Maana watu wanapotumia muda wao kukushauri na kukutia moyo, ni vizur kama utawapa fredback ili wajue namna ya kuboresha kusaidia wenfine next time. Tofauti na ile kupotea kimyaaaNakazia
Hapo nimekupataNafikiri dhumuni ni kutaka kujua mrejesho ukoje. Maana watu wanapotumia muda wao kukushauri na kukutia moyo, ni vizur kama utawapa fredback ili wajue namna ya kuboresha kusaidia wenfine next time. Tofauti na ile kupotea kimyaaa
Ujumbe uliokusudia ni upi?Kwanza naomba kuuliza ivi watu wanaotafuta wenza humu mnawapata kweli? Leten mirejesho tujue maana mtu akipost kutafuta mwenza naona comment ni za kukatisha tamaa haswa ma single mama Kwan mtu kuzaa ni kosa la jinai au nin?
Nyie wanaume inamaana wote humu hamna watoto mliotelekeza huko?
Single mama wanaoolewa mungu awasimamie na mnaotafuta pia mungu ataonyesha njia