Single mama, wawapiku wasiyo single mama kuolewa

Single mama, wawapiku wasiyo single mama kuolewa

Wanasema wazuri hawaolewi mkuu, mie siko kwenye hilo kundi la uzuri niko kwenye foleni ya kuisubiria siku yenyewe!!!!
Wewe mbona mzuri tena sana tu mpendwa.

Hao wanaosema wewe sio mzuri hawajui maana uzuri, pengine labda walitaka uwe kama midoli ya nguo ndio maana yao ya uzuri.

Ila naomba uniamini mimi wewe ni mwanamke mzuri sanaaaa....

Huna aja ya kupanga foleni mpendwa siku akikuona anaejua nini maana ya mwanamke mzuri hawezi kusubiri hata siku ipite
 
Haya bwana
Umeongea kwa kujiamini mpaka nkageuka nyuma labda unanijua na uko jirani yangu!!! Anyway tuombeane kila lenye kheri tuu mkuu!!!!
 
single mother hawana tofauti na wanawake wengine maana kama uhuni hata wasio single mother pia wahuni kama ni wema wa tabia hata single mother wapo wema pia kuzaa bila kuolewa sio tiketi ya kuwa muhuni. tatizo langu kwa single mother ni moja, kuhusu malezi ya mtoto niliyemkuta nae, kuhusu kuwahudumia mahitaji yote ya msingi anakuwa mtoto wenu wote ila mtoto akikengeuka anakuwa wake pekee yake hataki nisimame kama baba yake kumpa adhabu anayostahili hii inanifanya kama mume kuhisi sijapewa heshima halisi kama baba nami nikianza kupunguza upendo kwa mtoto mgogoro unaanza baina yetu ndoa inaingia mdudu na iwe kwamba mtoto anakuwa na mawasiliano na baba yake mzazi basi anakuwa anakuheshimu na kukupenda kinafiki tu. wengine woga wetu upo pale ambapo mtoto anaweza kuwa chanzo cha mume kukosa amani, maana kuchepuka hata wasio single mother wanachepuka na kama kukumbushia hata wasiozaa wenye tabia za kihuni na kukosa uaminifu wanakumbushia na watu wao wa zamani. uaminifu na upendo ni silaha kubwa kwao hawa watu
 
Haya bwana
Umeongea kwa kujiamini mpaka nkageuka nyuma labda unanijua na uko jirani yangu!!! Anyway tuombeane kila lenye kheri tuu mkuu!!!!
Sikufahamu Sakayo.

Hakika mimi binafsi nakuombea umpate wa kufanana na wewe na utampata tu.
 
Mila za kabila letu haziruhusu kidume kuoa mwanamke aliyekwisha zalishwa! Ni mwiko kabisa.
 
Single mama wengi wanaliwa kwa kudanganywa wataolewa, pia hawaolew make wanavijitabia vya kujikinai wenyew
 
Back
Top Bottom