Sio kweli.
Mshipa ulomshinda fisi mbwa atauwezea wapi ???
Hapa inabidi tuwatenganishe wanawake ktk msingi Wa tabia zao nasio kuzaa au kutozaa.
Kuna single maza walikua single maza sababu njemba zilikimbia mimba ,, wengine walizalishwa utoton tu. Wengine walikua ktk ndoa maisha safi lkn waume zao wakawafukuza kwa sababu tu wametaka kuwafukuza ila mama alikua Royal.wengine wakaamua tuu kujivua ,yaaan alikua Royal sana kavumilia mno lkn mateso hayavumiliki.
Waaina hii iyo [emoji115]anafaa .
ILA SASA USIOMBE UKAKUTANA NA SINGLE MAZA KWANZA ALIACHWA SABABU YA UKOROFI ,UZINZI ,JEURI,,USHIRIKINA,MATUSI YAAN KWAUFUPI ALIACHWA SABABU HAKUA ANASTAHILI KUA MKE WA MTU ...ALAFU SASA WEWE NDO UMCHUKUE ,,AISEEEE KILA SIKU UTAIMBA " MWANAMME TUMEUMBWA MATESO".
single maza waaina hiii wanafaaa tu kua nao "Kimahusiano".
Sasa suala LA kusema angalia ktk jamiii oohhh single maza wamewapita wasio singo linategemea na jamii ulopo...
Ila tusikimbie ukweli ,,, mwanamke single maza Mara nyingi kwanza yeye mwenyewe hua anajikatia Tamaa ya kutoolewa tena,, na inapotokea Fursa ndio maana huwa wanaitumia kweli kweli hawataki makosa.
Namara nyingi mwanamme anayeoa Single maza ,,huwa niyule either naye aliachika ,au hajaoa ila anamtoto ( ujana) au aliumizwa sanaaaaaa kimapenzi nahawa mabinti ,,sasa anatafuta MTU ambaye naye keshaumia au tu iman yakwamba single maza wanamapenzi .
Ukweli nikwamba ,,Mwanamke ambaye hajawahi olewa au kuzaa,, ndio anayeamini KWAKE kuolewa nisheria nasio kama Bahati kwa single maza.
Nahitimisha kwakusema ,,,"" Maswala ya nani anaolewa nani anaoa tuwaachie waoaji na waolewaji , mapenzi yananguvu sana ,,tena siku izi ukichanganya na limbwata ya maji ya "Chupi" [emoji23][emoji23][emoji23] ndo kabisa MTU hapumui.
Kuoa ,,we oa ,,ukioa mwanamke mwema utaishia kupata Raha ,,,,ukioa mwanamke mbaya utaishia kuimba nyimbo za mabata madogo madogo yanaogeleaaaaaaaaaa yanaogeleaaaaaaaa katika shamba zuriiiiii LA busataniiiii