Single mama, wawapiku wasiyo single mama kuolewa

Single mama, wawapiku wasiyo single mama kuolewa

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,164
Reaction score
11,266
Poleni na stress za mahusiano, pia hongereni kwa furaha ya mahusiano

Tuje kwenye hoja ya msingi, katika jamii zetu kumekuwepo na kina dada wanaozishwa na kuachwa na wazazi wenzao kwa sababu mbali mbali tu, hawa kina dada vijana wengi huwakwepa kuanza nao maisha kwa sababu tu wana watoto walishazaa hivyo vijana uitaji binti ambaye ajazaa kabisa.

Tuje katika uhalisia, uhalisia huu angalia hata hapo ulipo wadada wangapi unaowajua walizalishwa jamaa anaingia mitiani ila kwa sasa wamepata wanaume wengine wanaishi nao wengine wamefunga na ndoa kabisa wewe fikilia unaowajua utapata jibu kuwa single mother wengi sasa hivi wanapata mahusiano ambayo yanaeleweka tofauti na hawa ambao wanajiona bado mabinti wengi uchezewa na kwakua bado kuzaa ukiona wao bado mwisho wa Siku uzekea nyumbani au kuzaa na wame za watu .

Juma pili njema.
 
Kama wewe mwanaume basi ukubali kuitwa single mama au shoga katika uzi huu. Na Kama mwanamke hata kama hujazaa au upo ndani ya ndoa Yako utaitwa single mama, Maana wanaume wakora hawapendi kusikia Wala kuona habari njema zinazowahusu single mama ,wanapenda kuona single mama wengi wakiadhirika na kupoteza mwelekeo ,wasiwe Kwenye mahusiano ya furaha na ya kudumu Ndio furaha yao.
 
Iv kwa akil tu ya kawaida uoe mwanamke ambaye kashazalishwa na jemba jingine?

Haiwezakan aisee
 
Ni hawa hawa single maza mnaowananga humu daily?
Madhira ya hawa watu omba yasikupate, hapa mtaani kwangu hakuna ndoa ya single mam hata mmoja zaidi wanamegwa tu
 
Hapana kuna kitu kimoja singles mothers wanacho, awa vichunusi wengine hawana single wanaheshimu sana ndoa na wakipata mtu anayewapenda, wengi wao wamepitia mazito, ila wakipata mtu wanatulia wanmwona kama hero,...
Tena wanakuheshimu mpaka unajistukia mi wakwangu naye nilioaga single mama tena naenjoy sana...
 
Hapana kuna kitu kimoja singles mothers wanacho, awa vichunusi wengine hawana single wanaheshimu sana ndoa na wakipata mtu anayewapenda, wengi wao wamepitia mazito, ila wakipata mtu wanatulia wanmwona kama hero,...
The most important comment have never happened.....
 
Single mom wengi wanatendwa ,wanakutana na magumu mengi kwa waliowazalisha wanaamua kumove on,sasa akikutana na mtu wa kipendana akampa sababu zilizonyooka na ushahidi juu,kwa nn aliachana na mzazi mwenzie,lazima atamuelewa tu na mwisho wake kutangaza ndoa.
 
Sio kweli.

Mshipa ulomshinda fisi mbwa atauwezea wapi ???

Hapa inabidi tuwatenganishe wanawake ktk msingi Wa tabia zao nasio kuzaa au kutozaa.

Kuna single maza walikua single maza sababu njemba zilikimbia mimba ,, wengine walizalishwa utoton tu. Wengine walikua ktk ndoa maisha safi lkn waume zao wakawafukuza kwa sababu tu wametaka kuwafukuza ila mama alikua Royal.wengine wakaamua tuu kujivua ,yaaan alikua Royal sana kavumilia mno lkn mateso hayavumiliki.

Waaina hii iyo anafaa .

ILA SASA USIOMBE UKAKUTANA NA SINGLE MAZA KWANZA ALIACHWA SABABU YA UKOROFI ,UZINZI ,JEURI,,USHIRIKINA,MATUSI YAAN KWAUFUPI ALIACHWA SABABU HAKUA ANASTAHILI KUA MKE WA MTU ...ALAFU SASA WEWE NDO UMCHUKUE ,,AISEEEE KILA SIKU UTAIMBA " MWANAMME TUMEUMBWA MATESO".
single maza waaina hiii wanafaaa tu kua nao "Kimahusiano".

Sasa suala LA kusema angalia ktk jamiii oohhh single maza wamewapita wasio singo linategemea na jamii ulopo...

Ila tusikimbie ukweli ,,, mwanamke single maza Mara nyingi kwanza yeye mwenyewe hua anajikatia Tamaa ya kutoolewa tena,, na inapotokea Fursa ndio maana huwa wanaitumia kweli kweli hawataki makosa.

Namara nyingi mwanamme anayeoa Single maza ,,huwa niyule either naye aliachika ,au hajaoa ila anamtoto ( ujana) au aliumizwa sanaaaaaa kimapenzi nahawa mabinti ,,sasa anatafuta MTU ambaye naye keshaumia au tu iman yakwamba single maza wanamapenzi .

Ukweli nikwamba ,,Mwanamke ambaye hajawahi olewa au kuzaa,, ndio anayeamini KWAKE kuolewa nisheria nasio kama Bahati kwa single maza.

Nahitimisha kwakusema ,,,"" Maswala ya nani anaolewa nani anaoa tuwaachie waoaji na waolewaji , mapenzi yananguvu sana ,,tena siku izi ukichanganya na limbwata ya maji ya "Chupi" ndo kabisa MTU hapumui.

Kuoa ,,we oa ,,ukioa mwanamke mwema utaishia kupata Raha ,,,,ukioa mwanamke mbaya utaishia kuimba nyimbo za mabata madogo madogo yanaogeleaaaaaaaaaa yanaogeleaaaaaaaa katika shamba zuriiiiii LA busataniiiii
 
Back
Top Bottom