Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,665
Hata wewe ulisema kuhusu mwezi huu. Uliposema nimempa ushauri MWEZI huu ina maana miezi mingine ingekuwa sawa kumpa? Kwa hiyo sasa hivi una ji contradict! Ulipotaja mwezi huu ina maana miezi mingine inaruhusu uovu! Kuwa na msimamo na usiwe mtu wa kubadilikabadilika babu....sawa?Mkuu hata ungetuma zamani! Kwani kufanya uovu na mema una kipindi maalum?! Kitokacho mtu mdomoni ndicho kilicho rohoni!