Single Mama Ananipenda lakini mi naogopa!

Single Mama Ananipenda lakini mi naogopa!

tupe feedback,
Ukiona manyoya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Habari wanajamii
Moja kwa moja kwenye mada;
Tangu mwaka 2011 kuna binti nilikuwa nimemzimia sana, ila nilikuwa nashindwa kimwambia ukweli(domo zege) hasa ukizingatia huyu binti kadiri miaka ilivyokuwa inakwenda akaanza kunizoea na hadi sasa ameshanizoea kabisa. Tunachat sana kwenye whatsapp/sms lakini inaonekana ana hamu na mimi ila mi naogopa, kwani kwa kipindi tangu tulipozoeana 2011 nilishindwa kumwambia ukweli na baadae akapata lijamaa likampa mimba na sasa ana mtoto mkubwa tu. Inaonekana binti anani-mind sana ila mi nashindwa pa kuanzia.
Naomba ushauri wenu

2ⁿᵈpost 2019
Post tayari!

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu aisee..... tangu 2011 mpaka sasa ni miaka mingapi hivi? Mwenzako kashazaa mtoto wewe bado nawe hujapata tu mwanamke wa kukuzalia? au mlikuwa primary 2011?
 
Duuuu aisee..... tangu 2011 mpaka sasa ni miaka mingapi hivi? Mwenzako kashazaa mtoto wewe bado nawe hujapata tu mwanamke wa kukuzalia? au mlikuwa primary 2011?
Duh! Mbona kama unanitusi, nimemaliza hiyo primary tangu 20's nina watoto. Umeshapata jibu au bado?!
 
Tafuta wako kiongozi achana na kutafuta pressure kwa single mother! Jamaa akiamua ku rekindle love na huyo demu ni rahisi tu kumtafuna. Usikurupuke!
 
Tafuta wako kiongozi achana na kutafuta pressure kwa single mother! Jamaa akiamua ku rekindle love na huyo demu ni rahisi tu kumtafuna. Usikurupuke!
Mi nimepita tu[emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mwite geto kwako aje akutembelee. Akikubali kuja ujue amekuelewa akifika ndani mkazie macho ikibidi lia kabisa mwambie unampenda sana long time ila ulikuwa unatafta uhakika wa hisia zako kwake.
Akiuliza kweli??? Mkumbatie tu na uanze kumkiss hapo kazi imeisha.
 
Back
Top Bottom