Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,384
- Thread starter
- #41
Mkuu nilishamaliza biasharaMwite geto kwako aje akutembelee. Akikubali kuja ujue amekuelewa akifika ndani mkazie macho ikibidi lia kabisa mwambie unampenda sana long time ila ulikuwa unatafta uhakika wa hisia zako kwake.
Akiuliza kweli??? Mkumbatie tu na uanze kumkiss hapo kazi imeisha.