Yaani tunaowaambia ukweli ndiyo tuna matatizo ila wanaowapigia makofi kwenye kila kitu mnachosema hata kama ni ujinga ndiyo hawana matatizoMpeleke muhimbili mkuu, naona huyu binti ako na tatizo kidogo
Edelyn ni jina la juzi tu, nataka ID ya mwaka 2014 huko... Perhaps I had a bang with you[emoji23][emoji23][emoji41]Hata nikikutajia bado hauwezi kuamini kama nakujua
Edelyn
Edelyn ni jina la juzi tu, nataka ID ya mwaka 2014 huko... Perhaps I had a bang with you[emoji23][emoji23][emoji41]
May 20th na unasema unanijua mkuu? Nah! Niliacha kujuana na wanajf mda sana... unadanganya!Sasa si uangalie nimejiunga lini JF mkuu? Sijawahi kujiunga JF zaidi ya mara mbili!
May 20th na unasema unanijua mkuu? Nah! Niliacha kujuana na wanajf mda sana... unadanganya!
Aaah, sasa unanipa maswali we mtoto!!Kwani nani kakwambia kuwa nimekujua JF? Mie nimekujua kabla hata sijajiunga JF ila wewe ndiyo haunijui na siwezi kukwambia nimekujuaje ah bwana acha maswali wewe kama hauamini basi sawa!
Aaah, sasa unanipa maswali we mtoto!!
I AM VERY SORRY DEAR, pole sana dada, nilikuwa najoke tu, i am very very sorry nisamehe bure my dada plsYaani tunaowaambia ukweli ndiyo tuna matatizo ila wanaowapigia makofi kwenye kila kitu mnachosema hata kama ni ujinga ndiyo hawana matatizo
je wewe usaolewa???na siulizi kwa ubaya plsKwahiyo wanawake wote wataolewa na hao wanaume wachache wanaojielewa?
Basi mualike kwako basi, invite her to your place pls sirhilo tatizo linatibiwa na mahaba ya nyumbani tu mkuu. Haina haja ya kumpeleka bidada hospitali
I AM VERY SORRY DEAR, pole sana dada, nilikuwa najoke tu, i am very very sorry nisamehe bure my dada pls
je wewe usaolewa???na siulizi kwa ubaya pls
nice to hear that, now basi usiwe unachangia mambo ya single ladies pls, shugulika na mumeo, hii mambo achie single ladies na single men like me my dear sister,focus on your family such issues pls leave it to others, and i am telling you this in very good faith my dear sister, be blessed and may lord shower his blessings on you dear sister,byeNdiyo 'Nisaolewa'
And pls i am not fluent in swahili, so forgive my bad swahili my sisterNdiyo 'Nisaolewa'
nice to hear that, now basi usiwe unachangia mambo ya single ladies pls, shugulika na mumeo, hii mambo achie single ladies na single men like me my dear sister,focus on your family such issues pls leave it to others, and i am telling you this in very good faith my dear sister, be blessed and may lord shower his blessings on you dear sister,bye
HayaAnd pls i am not fluent in swahili, so forgive my bad swahili my sister
Sifuti hadi unipe uhakika.. young lady!Mtoto? Futa kauli mkuu!
Unaishi dunia gani? Mbona sisi tunashuhudia ndoa nyingi wanawake wana tabia hizo hapo juu na wapo kwenye ndoa na pia wapo wanawake hawana tabia hizo na bado hawaolewi? Msikariri maisha! Maisha ya ndoa hayana kanuni moja na ukizingatia hakuna jinsia inayojua inachotaka kwenye ndoa!
Hiii tujazane ujinga au ndiyo uhalisia uliopo? Nimekwambia tunashuhudia ndoa nyingi ambazo wanawake wana tabia hizo na ndoa zinadumu vizuri tu hii dunia imeshaharibika yaani
Hivyo msidhani hizi pumba mnazoongea humu eti watu wote kabisa wanazifanyia kazi hakuna kitu kama hicho wanaume waovu na wanawake waovu walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia
Hiyo dunia mnayoitaka ninyi eti wanaume muwe mashetani mfanye tu maovu mnavyojisikia ila wanawake wawe malaika watulie tu wawe wapole haijawahi kuwepo haipo na haitakuja kuwepo
Na huo ndiyo ukweli mchungu wewe wanawake wasioolewa wanakuuma nini tafuta mmoja mwenye tabia nzuri oa tulia kama unaona hawapo endelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha ukifa utaenda kujuana na Mungu vizuri huko!